Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

Siku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii.

Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi?

NB:
Maendeleo hayana chama.

Cc; Erythrocyte

View attachment 2190514
Kwani amealikwa kuwa mgeni rasmi kama makamu mwenyekiti wa CCM au kama KINANA?

AFU mnazichukia rangi za njano na kijani lakini nimeziona hapo
 
Daaah..
ila simba mmetukosea sana..
Kwa mlichofanya lazima mpoteze mechi..

Muda mwingine acheni kujipendekeza kwa wanasiasa..hao binadam hawafai nuksi
Ikifika saa 3 usiku wa leo mtaanza kusema matokeo yamesababishwa na mgeni rasmi
 
Lazima kwanza utafakari kilichopelekea kufanya hivyo
Sawa, HAKUNA KITAKACHOHALALISHA KUKOSWAKOSWA NA SHOKA... Yaani hakuna kosa nitakalolifanya, limpe mke uhalali wa kuniuwa.. NO WAY, hata nitafari vipi..!! Labda na mimi niwe nimemkosakosa kumuua kwa kudhamiria
 
Back
Top Bottom