Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

ila simba mmetukosea sana..
Muda mwingine acheni kujipendekeza kwa wanasiasa..hao binadam hawafai nuksi

Hivi hii mechi, Mama alikubali mwaliko au alichomoa? Isije ikawa ndio chanzo cha uzi huu

Hivi hii mechi, Mama alikubali mwaliko au alichomoa? Isije ikawa ndio chanzo cha uzi huu

View attachment 2190556
Kwani kuna sehemu gani inayoonesha kuwa Mama amealikwa?
Kwa kupenda sifa za kuonekana anaupiga mwingi angekuwa na nafasi angehusika hadi uwanjani. Mechi ilisogwezwa mbele kwasababu ya jambo hilo hilo la kilele cha mwaka mmoja wa mpiga mwingi.
 
Daaah..
ila simba mmetukosea sana..
Kwa mlichofanya lazima mpoteze mechi..

Muda mwingine acheni kujipendekeza kwa wanasiasa..hao binadam hawafai nuksi
Dah....kwa hili la maharamia wa Orlando nawaunga mkono 100%.....au ulitaka wampe mualiko IGP? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Simba sio timu ya ccm Ila Kama mmeangalia utani wa jadi sawa Ila isijirudie
 
Kwani kuna sehemu gani inayoonesha kuwa Mama amealikwa?
Kwa kupenda sifa za kuonekana anaupiga mwingi angekuwa na nafasi angehusika hadi uwanjani. Mechi ilisogwezwa mbele kwasababu ya jambo hilo hilo la kilele cha mwaka mmoja wa mpiga mwingi.
lakini alikuja JK akasababisha mechi ichelewe kuanza
 
Si ndiyo hawa walituponda wiki chache zilizopita atulipo mualika JK kwenye ile mechi yetu na KMC! Na wenyewe leo wanarudia yale yale!
 
Ni hivi hii nchi timu zote zinaangukia CCM akuna namna unaweza kukwepa uCCM kwa Yanga au Simba.
Waasisi wa Yanga ndo waasisi wa TANU/ASP= CCM na Simba imejimega kutoka kwa Yanga.
tuacheni tucheze game ya leo.
 
Reactions: BRN
Hapa club yangu pendwa imezingua lakini ngoja mchezo upite kwanza
Mambo ya rohoni yana nguvu kuliko sayansi na jitihada binafsi.

Ya duniani hayawezi kwenda bila kuwiana ulimwengu wa roho.

Ni mtazamo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…