maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Wewe utakua ni utoporo,Hapana Mo na Barbra inabidi wawajibike, sijapendezwa na uonevu na upuuzi wa wazi kabisa
Huyo Barbra simuamini kabisa, kuna siku tutakuja kuyakumbuka maneno ya Manara
Nendeni mkashitaki CAS ili Mo anyang'anywe hizo hisaSimba haipati faida Yoyote na matangazo kwenye jezi
Inaonekana kwa dhanti wewe utakuwa kama sio chawa wa Barbra/MO basi utakuwa hujielewi kabisa. Mimi ni mmojawapo ya watu wanaochukizwa saana na tabia ya Manara na nimefurahia yeye kuondoka lakini hii Press ya leo imetusaidia na kutufumbua saana macho wana msimbazi kuhusu hawa watu wanaojihita wawekezaji..yapo mengi saana ya kuhoji mimi ngoja nianze na haya machache mengine wataongezea watu makini walioona kuwa leo manara alikua na hojaPress yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.
Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.
Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Mzee kilomoni mlimpuuza,Manara pia mmpuze??nyie ndo mtakuwa wapuuzi sasaInaonekana kwa dhanti wewe utakuwa kama sio chawa wa Barbra/MO basi utakuwa hujielewi kabisa. Mimi ni mmojawapo ya watu wanaochukizwa saana na tabia ya Manara na nimefurahia yeye kuondoka lakini hii Press ya leo imetusaidia na kutufumbua saana macho wana msimbazi kuhusu hawa watu wanaojihita wawekezaji..yapo mengi saana ya kuhoji mimi ngoja nianze na haya machache mengine wataongezea watu makini walioona kuwa leo manara alikua na hoja
1. Hizo 22 plus Bilioni anazosema MO ameipa Club tofauti na zauwekezaji, Je ulikuwa ni mkopo au pesa ya bure na kama ni mkopo utalipwaje au atakata kwenye Bi 20? unawafahamu wahindi wewe?
2. Kama tulisaini mkataba na AZAM wa Mili 380 Jan, yanga wakatupiga bao arafu kwa huruma ya Azam wakakubali (kureview mkataba) twende pasu pasu na Yanga kwanini leo Mo hataki huu mkataba na anakataa kama nani?
3. Hi Mo foundatin na bidhaa nyingine nyingi zilizojaa kweny jersey ya simba tulingia mkataba kweli na lini?
4. .........................
Vyote vipo wazi ila sababu sio mtu wa michezo ndio maana hujui. Kwa kukusaidiaInaonekana kwa dhanti wewe utakuwa kama sio chawa wa Barbra/MO basi utakuwa hujielewi kabisa. Mimi ni mmojawapo ya watu wanaochukizwa saana na tabia ya Manara na nimefurahia yeye kuondoka lakini hii Press ya leo imetusaidia na kutufumbua saana macho wana msimbazi kuhusu hawa watu wanaojihita wawekezaji..yapo mengi saana ya kuhoji mimi ngoja nianze na haya machache mengine wataongezea watu makini walioona kuwa leo manara alikua na hoja
1. Hizo 22 plus Bilioni anazosema MO ameipa Club tofauti na zauwekezaji, Je ulikuwa ni mkopo au pesa ya bure na kama ni mkopo utalipwaje au atakata kwenye Bi 20? unawafahamu wahindi wewe?
2. Kama tulisaini mkataba na AZAM wa Mili 380 Jan, yanga wakatupiga bao arafu kwa huruma ya Azam wakakubali (kureview mkataba) twende pasu pasu na Yanga kwanini leo Mo hataki huu mkataba na anakataa kama nani?
3. Hi Mo foundatin na bidhaa nyingine nyingi zilizojaa kweny jersey ya simba tulingia mkataba kweli na lini?
4. .........................
Uko sahihi,wasimjibu chochote.Kabla ya Simba hakuwa na umaarufu wowote.Heshima aliyoipata toka kwa wanachama na mashabiki wa Simba ameipoteza.Binafsi nilim unfollow kabisa.Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.
Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.
Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Kwakukusadia BIl 21 haikuwa ruzuku ni deni na amewasainisha baadhi ya viongozi tunataka hatueleze mkopo kaikopesha simba kwa idhini ya nani?Vyote vipo wazi ila sababu sio mtu wa michezo ndio maana hujui. Kwa kukusaidia
1.Bil 21 ni ruzuku simba haidaiwi.
2. Mil 380 waliyosaini ni kipindi cha simba TV kinachoonyeshwa AZAM, huo mkataba mwingine ni tofauti, exclusives zote mpaka mazoezi na mahojiano huu ndio simba waliougomea.
3. MO foundation ni charity, ( sijui kuhusu hili kama inalipiwa) lakini MO extra inalipiwa na haitangazwi bure.
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Mfuate sasa
Hapana Mo na Barbra inabidi wawajibike, sijapendezwa na uonevu na upuuzi wa wazi kabisa
Huyo Barbra simuamini kabisa, kuna siku tutakuja kuyakumbuka maneno ya Manara
Mbona nyie mmepuuza mzee mpiliMzee kilomoni mlimpuuza,Manara pia mmpuze??nyie ndo mtakuwa wapuuzi sasa
Haji kaongea ukweli mtupu maana tulikuwa tunaongea humu kwamba uyu mo anaifanya simba kuwa ya familia yake mnabisha, wewe utasemaje upati faida kwenye timu miaka yote 4?
Hivi kuna mfanyabiashara anakubali hasara tu kila siku? Ni njia mojawapo ya kuwanyonya watu iyo anaanza kujiwekea ulinzi ili aendelee kufaidika watu wasihoji
Umesahau Mwamedi alipotekwa alivalishwa kanga laini ya Mombasa?