Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Hapana Mo na Barbra inabidi wawajibike, sijapendezwa na uonevu na upuuzi wa wazi kabisa

Huyo Barbra simuamini kabisa, kuna siku tutakuja kuyakumbuka maneno ya Manara
Wewe utakua ni utoporo,
Kwa mwanasimba maslahi ya simba ni muhimu kuliko kibarua cha manara.
Simba chini ya mo imepata mafanikio makubwa kuliko kelele za manara za miaka yote!
Mpira ni uwekezaji sio kelele.
Ukikaa sawa unitajie msemaji wa al ahly
 
Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.

Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.

Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Inaonekana kwa dhanti wewe utakuwa kama sio chawa wa Barbra/MO basi utakuwa hujielewi kabisa. Mimi ni mmojawapo ya watu wanaochukizwa saana na tabia ya Manara na nimefurahia yeye kuondoka lakini hii Press ya leo imetusaidia na kutufumbua saana macho wana msimbazi kuhusu hawa watu wanaojihita wawekezaji..yapo mengi saana ya kuhoji mimi ngoja nianze na haya machache mengine wataongezea watu makini walioona kuwa leo manara alikua na hoja

1. Hizo 22 plus Bilioni anazosema MO ameipa Club tofauti na zauwekezaji, Je ulikuwa ni mkopo au pesa ya bure na kama ni mkopo utalipwaje au atakata kwenye Bi 20? unawafahamu wahindi wewe?
2. Kama tulisaini mkataba na AZAM wa Mili 380 Jan, yanga wakatupiga bao arafu kwa huruma ya Azam wakakubali (kureview mkataba) twende pasu pasu na Yanga kwanini leo Mo hataki huu mkataba na anakataa kama nani?
3. Hi Mo foundatin na bidhaa nyingine nyingi zilizojaa kweny jersey ya simba tulingia mkataba kweli na lini?
4. .........................
 
Mzee kilomoni mlimpuuza,Manara pia mmpuze??nyie ndo mtakuwa wapuuzi sasa
 
Vyote vipo wazi ila sababu sio mtu wa michezo ndio maana hujui. Kwa kukusaidia
1.Bil 21 ni ruzuku simba haidaiwi.
2. Mil 380 waliyosaini ni kipindi cha simba TV kinachoonyeshwa AZAM, huo mkataba mwingine ni tofauti, exclusives zote mpaka mazoezi na mahojiano huu ndio simba waliougomea.
3. MO foundation ni charity, ( sijui kuhusu hili kama inalipiwa) lakini MO extra inalipiwa na haitangazwi bure.
 
Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.

Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.

Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Uko sahihi,wasimjibu chochote.Kabla ya Simba hakuwa na umaarufu wowote.Heshima aliyoipata toka kwa wanachama na mashabiki wa Simba ameipoteza.Binafsi nilim unfollow kabisa.
 
Mi ni Simba ila manara yupo sahihi 100% mo aweke wazi Simba imeingiza kiasi gani kwa hio miaka 4 na manara alichokuwa anakitetea ni image rights zake wengi msiojua soka mtamponda ila mo ni mswahili sana ndo maana walimteka
 
Tutafakari yalizongumzwa na Manara. kazumgumza vitu vya msingi sana.

Tunatakiwa kutafakari yale yalizongumzwa na kuyafanyia kazi wakati huu bado mambo hayajaharibika, ipo siku tutamkumbuka Manara na siku yenyewe haipo mbali.
 
Vyote vipo wazi ila sababu sio mtu wa michezo ndio maana hujui. Kwa kukusaidia
1.Bil 21 ni ruzuku simba haidaiwi.
2. Mil 380 waliyosaini ni kipindi cha simba TV kinachoonyeshwa AZAM, huo mkataba mwingine ni tofauti, exclusives zote mpaka mazoezi na mahojiano huu ndio simba waliougomea.
3. MO foundation ni charity, ( sijui kuhusu hili kama inalipiwa) lakini MO extra inalipiwa na haitangazwi bure.
Kwakukusadia BIl 21 haikuwa ruzuku ni deni na amewasainisha baadhi ya viongozi tunataka hatueleze mkopo kaikopesha simba kwa idhini ya nani?
2. Kumbe huelewi kitu kuhusu hii kitu...sina cha kusema

3. Hata kama ni charity nani kakwambia intangaza bure....unajua hiyo charity inapata wapi pesa? kadanganya nini hao wanaotoa Pesa...unaelewa mambo ya marketing kweli wewe?

haya Mo protector nayo ni charity?
 
Haji kaongea ukweli mtupu maana tulikuwa tunaongea humu kwamba uyu mo anaifanya simba kuwa ya familia yake mnabisha, wewe utasemaje upati faida kwenye timu miaka yote 4?

Hivi kuna mfanyabiashara anakubali hasara tu kila siku? Ni njia mojawapo ya kuwanyonya watu iyo anaanza kujiwekea ulinzi ili aendelee kufaidika watu wasihoji

Kwakuwa ameongea Haji ndiyo umeamini? Utopolo kazi mnayo mwaka huu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Playing the victim. Kama kawaida.
Muda wote alikuwa wapi asiseme yote hayo!
Ni timu gani yenye professionalism 'msemaji wa timu' afanye yote hayo kwa miaka 6! Hana job description, hana mkataba yupo yupo tu!

Muda wa maneno maneno, majungu ya vibarazani umepita. Watu wamemwaga hela kwenye ligi mpira uchezwe.
 
Back
Top Bottom