maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Wewe utakua ni utoporo,Hapana Mo na Barbra inabidi wawajibike, sijapendezwa na uonevu na upuuzi wa wazi kabisa
Huyo Barbra simuamini kabisa, kuna siku tutakuja kuyakumbuka maneno ya Manara
Kwa mwanasimba maslahi ya simba ni muhimu kuliko kibarua cha manara.
Simba chini ya mo imepata mafanikio makubwa kuliko kelele za manara za miaka yote!
Mpira ni uwekezaji sio kelele.
Ukikaa sawa unitajie msemaji wa al ahly