Simba sc mpaka sasa ina vikombe vitatu ndani ya kabati, hakika hii ni timu ya mfano na timu ya kuigwa katika ligi ya Nbcpl

Makombe yanajulikana bwana mbona unayakosea adabu? Makombe ni NBC premier league na CRDB confederation cup usiweke mabonanza ya hisani kwenye mtiririko wa makombe kwa maana ata michuano ya kugombea mbuzi nayo Yana kombe!!!
 
Huo ndo ukweli yani nyie mambo ya Simba mmeyavalia njuga kuliko wenye Simba yao..mara Mo aondoke kwani Mo anawahusu??
HUTAKI TUTOE MAONI TUNAPOONA TIMU YETU INATUMBUKIA KWENYE SHIMO
 
Makombe yanajulikana bwana mbona unayakosea adabu? Makombe ni NBC premier league na CRDB confederation cup usiweke mabonanza ya hisani kwenye mtiririko wa makombe kwa maana ata michuano ya kugombea mbuzi nayo Yana kombe!!!
SASA SISI MAKOLO TUPO TUNASHANGILIA TREBLE MKUU SASA ITAKUAJE
 
Simba number one trending on social media...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…