Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
E-YXBTvWQAIx6Xh.jpg
 
Yaani jezi zenu zote 3 zimekopiwa. ukianza na ille white mmechukua Tunisia.

Halafu ile nyekundu mmeiga sleeves za Yanga.

Hii nayo Fred kachukua texture kutoka kwenye template za Adidas store akazibandika.
Kelele nyingi kwenye mauzo sasa ni aibu na hii ndio maana harisi ya utopolo wenye jenzi mbovu unao wasema kwenye mauzo wanatisha

E-g85LpWYAA8ESH.jpeg
 
Ko unabisha kuhusu hili ivi watu wanaweza kuropoka bei na TRA wakae kmy ? Jesi za simba zinasepa kinoma za uto zimedoda japo ni ukweli mchungu inabdi umeze ivo ivo
Jibu swali.
 
Huna macho hata ya kujua utofauti hapo yaani hiyo moja zig zag zake zipo muelekeo wa kulia nyingine zig zag zake zipo kuelekea kushoto. Hivi.nyie watu hamna macho ya kuchambua mambo. Kazi nzuri sana hii huu uzi wa mnyama ni balaa mautopolo mnajitekenya tu bure.

Yaani mnaweweseka na ile mikusanyiko ya wafu huko.kuzimu aka utopoloni.

Duniani.kazi rahisi ni kukosoa tu
 
Jibu swali.
Dah! Hadi raha. Yaani Mwananchi mmoja tu, halafu anapambana mbumbumbu kama 20 hivi!!

Yaani umenikumbusha zile muvi za enzi hizo za Kichina!! Master mmoja tu, anavilaza chini vichwa 50 tena vyenye silaha tofauti, ndani ya muda mfupi!! Safi sana!! 💪

Endelea kuwapiga za uso.
 
Back
Top Bottom