Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

ndo wale wale waliocheza na Zanaco, au kuna wengine wameongeza nguvu?
Kumbe ulitumiapo dakika 90 za maisha yako kuwatazamapo.

Sikuwa natambua hilo.
 
kilichotoka mapumnziko
Unazungumzia kikosi kipi? Kile ambacho kwenye mechi 2 za ligi kimepigwa mechi moja na kutoa sare mechi moja dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara.?
 
Unazungumzia kikosi kipi? Kile ambacho kwenye mechi 2 za ligi kimepigwa mechi moja na kutoa sare mechi moja dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara.?
Nimeangalia tena msimamo wa ligi, nikagundua kuwa kila timu ilicheza mechi 34, na sio mechi 2 kama ulivyosema 😁
 
Nimeangalia tena msimamo wa ligi, nikagundua kuwa kila timu ilicheza mechi 34, na sio mechi 2 kama ulivyosema 😁


Kama mechi 2 hazima umuhimu wowote kwenye msimamo wa ligi basi vivyo hivyo Uzi huu hautokuwa a umuhimu wowote kwenye mechi ya Rivers United.
 
Endelea kuhangaika na jezi ila tarehe 12 hao Rivers watawatoa wenge.
Nyiyi mlikuwa mna hangaika na nii mpaka AS Vita wakawachabanga bao 5 ...?
 
Mabingwa mara 27 wa Kihistoria. Unasema habari gani kuhusu Ubingwa eti.?
Ndio mlichobakiza kwa Sasa...ngojeni msimu ujao tuendelezee ubabe na nyie endeleeni kuikumbatia hiyo historian.
 
Hawawez wakakubali nani.avae mikusanyiko ya wafu. Nina wadogo.zangu ni yanga kinoma wamasema hawatanunua hizo jezi za uto maana hazijawafurahisha
Hao madogo wana akili sana big up
 
Mwisho vita akaishia wapi na simba akafika wapi? Akili za uto ndio hizi
Tunachijua sote ni kuwa nyote hamkuchukua ubingwa wa CAFCL. Ila mwenzako aliwahi kuchukua mwaka 1973.
 
Hamjakosea.

Malengo ya timu yanategemeana na ukubwa wa Timu pia.

Hogereni kwa kutwaa Kombe la "HATUA" la Afriqeu.πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Umempatia huyu utopolo
Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu FC.

Mr Nice ni tajiri? Nani alipima utajiri wake enzi hizo? Na alitumia kipimo gani kupima Utajiri wake?

Isijekuwa ndio wifi yake jamaa yako huyo.
 
Simba walianzisha Simba day halafu nyie mkaja na siku ya mwananchi halafu bila aibu unasema Simba inakosa ubunifu kwa kuwaiga utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…