Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Sio kwa yangaa hii ya bongo.Vijana wengi hamjui maana ya friendly Matches. Maengo ya mechi za kirafiki io kushinda "KUMBUKA" hilo.
Haya ni matokea ya mechi 4 za kirafiki za Bingwa mara 6 wa Bara la Ulaya. Amecheza mechi 4, Kafungwa mechi 3 na Ka-draw mechi 1.
View attachment 1925804
Maumivu yako yakoje ulipoona jina kapumbu kwenye jersey ya mnyama simba?Hivi mna mashabiki wa namna hii kweli huko upande wenu?
Maaana mtu na akili zake hawezi iandika jezi yake ilo jina.
Mkimanuliwa msipige mayowe kwani hamna akiliNani kasema kufanya friendly match ni jambo la msingi kwa timu kubwa.?
Tumia walau asilimia 25 ya mental strength yako, utagundua kuwa kila aliwazalo mjinga ndilo linalo mtokea.
Mnaliogopa hilo jina [emoji3][emoji3][emoji3]Hivi mna mashabiki wa namna hii kweli huko upande wenu?
Maaana mtu na akili zake hawezi iandika jezi yake ilo jina.
Kwani mna ubia na viwanda vya materials za nguo?Yaani jezi zenu zote 3 zimekopiwa. ukianza na ille white mmechukua Tunisia.
Halafu ile nyekundu mmeiga sleeves za Yanga.
Hii nayo Fred kachukua texture kutoka kwenye template za Adidas store akazibandika.
Ona midosho yenu yenye minembo ya kubandika na gundi