Simba SC mtaendelea kupata mnachostahili mpaka mkubali timu yenu kwa sasa ni maji maji iliyochangamka

Manula
Kapombe
Zimbwe
Onyango
Kennedy
Mkude
Dilunga
Bwalya
Kagere
Ajibu
Duncan.
 
Mwaka uliopita mechi za mwanzoni mlisemaga hivi hivi.
 
Nashukuru mkuu, nakusamehe kwasababu sio akili yako bali Simba imekuvuruga.
 
Mwaka uliopita mechi za mwanzoni mlisemaga hivi hivi.
Endelea kukaririshwa na ndicho kinachowaponza mpaka sasa, mmekariri kuingia uwanjani na matokeo yenu mfikoni mkijidai mna timu nzuri but kinachoendelea kuwakuta mpaka mtatubu, yanga ya msimu uliopita usilinganishe na yanga hii ni sawa na kulinganisha Njombe mji na barcelona,
 
Msimu uliopita
Mechi nne pointi nne
Msimu huu
Mechi nne pointi nane

Tumeimarika sana ni wachezaji tu kukubali no chama no luis wacheze mpira
 
Shida ya Simba ni benchi la ufundi kushindwa kuwatuliza wachezaji,wachezaji wamejawa na papara hasa safu ya mbele kila mmoja anataka aonekane,kifupi safu ya ushambuliaji haina kiongozi.Kibu anatakiwa aache umachachari awe hatari
 
Manula-
Kapombe
Zimbwe
Wawa
Onyango
Mkude
Mzamiru
Bwalya
Kagere
Kibu
Muhilu
 
Manula-
Kapombe
Zimbwe
Wawa
Onyango
Mkude
Mzamiru
Bwalya
Kagere
Kibu
Muhilu
Inaniuma sana nikifikira huwaga nalia maana hata watoto wadogo wanatucheka sana ( Mbao nao wanatamani wakutane na mnyama wamuadhibu hapo kidogo) eti Kila timu inaitamani simba
 
Litaendelea kuwa tawi na wao wameona kinachobebwa akibebeki wakaamua kukomaa nao tu, mchezaji Kama anawekewa mpira afunge anashindwa wangefanyaje sasa
Mtu kama Kibu nashindwa kuelewa kwa nini yupo simba.

Zile nafasi hapaswi kukosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…