Simba SC mtaendelea kupata mnachostahili mpaka mkubali timu yenu kwa sasa ni maji maji iliyochangamka

Simba SC mtaendelea kupata mnachostahili mpaka mkubali timu yenu kwa sasa ni maji maji iliyochangamka

Tatizo ni viongozi kuingilia benchi la ufundi.. Wanajua wazi wachezaji wengi wakigeni wa mwaka huu "wametupiga"" ila wanalazimisha wacheze.Asante Mungu leo kawaumbua kwa kuumia Kanoute,Mmeona mambo waliyoyafanya Muhilu,Mkude na Morrison. Kuanzia sasa kikosii tunapanga sisi wanachama mpaka mtakapopata mwalimu anaeleweka. Mechi ijayo kikosi ni ..Manula, Kapombe,Mohamed,Wawa, Onyango,Mudhamiru,Muhilu,Mkude,Kagere,Bwalya na Morrison
Manula
Kapombe
Zimbwe
Onyango
Kennedy
Mkude
Dilunga
Bwalya
Kagere
Ajibu
Duncan.
 
Nafikiri tutaendelea kuelewana mdogo mdogo kwa wale mashabiki oya oya wa simba ambao ni mbumbumbu wa kuiangalia timu yao kiufundi Ina matatizo gani, sasa aya yanayotokea sio kwa bahati mbaya bali ni uwezo wa timu ya simba uko chini sana, na Kama awatashtuka kurekebisha mambo na kuendelea kujifanya wako vizuri uwanjani wataendelea kupokea matokeo Kama aya, Sijaona clear chance ata moja ambayo simba wameitengeneza kufunga goli, achana na mipira ya kibu Denis ambayo uwezi kusema ni clear chance kwakuwa alikuwa amezongwa na mabeki, Simba awa awa walikuwa wanaizodoa yanga kwamba uwanja wa taifa yanga inafunga kagoli kamoja kwanini, lakini wao wamepata goli la penalti na Leo wameshindwa kupata ata ilo la penalti licha ya kucheza na timu pungufu mda mrefu, Mkubali mkatae simba iko gonjwa
Mwaka uliopita mechi za mwanzoni mlisemaga hivi hivi.
 
Ubongo wako haujajaa ndio maana umekurupuka,nimeandika kuhusu kocha mkuu kulitawala benchi la ufundi na mbinu na mipango yake ndio iwe msingi wa benchi na sio kufika na kuanza kuelekezwa na kocha msaidizi,uwe unatafakali kwanza kabla ya kujibu,au wewe ni mke wa matola
Nashukuru mkuu, nakusamehe kwasababu sio akili yako bali Simba imekuvuruga.
 
Mwaka uliopita mechi za mwanzoni mlisemaga hivi hivi.
Endelea kukaririshwa na ndicho kinachowaponza mpaka sasa, mmekariri kuingia uwanjani na matokeo yenu mfikoni mkijidai mna timu nzuri but kinachoendelea kuwakuta mpaka mtatubu, yanga ya msimu uliopita usilinganishe na yanga hii ni sawa na kulinganisha Njombe mji na barcelona,
 
Nafikiri tutaendelea kuelewana mdogo mdogo kwa wale mashabiki oya oya wa simba ambao ni mbumbumbu wa kuiangalia timu yao kiufundi Ina matatizo gani, sasa aya yanayotokea sio kwa bahati mbaya bali ni uwezo wa timu ya simba uko chini sana, na Kama awatashtuka kurekebisha mambo na kuendelea kujifanya wako vizuri uwanjani wataendelea kupokea matokeo Kama aya.

Sijaona clear chance ata moja ambayo simba wameitengeneza kufunga goli, achana na mipira ya kibu Denis ambayo uwezi kusema ni clear chance kwakuwa alikuwa amezongwa na mabeki.

Simba awa awa walikuwa wanaizodoa yanga kwamba uwanja wa taifa yanga inafunga kagoli kamoja kwanini, lakini wao wamepata goli la penalti na Leo wameshindwa kupata ata ilo la penalti licha ya kucheza na timu pungufu mda mrefu, Mkubali mkatae simba iko gonjwa
Msimu uliopita
Mechi nne pointi nne
Msimu huu
Mechi nne pointi nane

Tumeimarika sana ni wachezaji tu kukubali no chama no luis wacheze mpira
 
Shida ya Simba ni benchi la ufundi kushindwa kuwatuliza wachezaji,wachezaji wamejawa na papara hasa safu ya mbele kila mmoja anataka aonekane,kifupi safu ya ushambuliaji haina kiongozi.Kibu anatakiwa aache umachachari awe hatari
 
Manula-
Kapombe
Zimbwe
Wawa
Onyango
Mkude
Mzamiru
Bwalya
Kagere
Kibu
Muhilu
 
Manula-
Kapombe
Zimbwe
Wawa
Onyango
Mkude
Mzamiru
Bwalya
Kagere
Kibu
Muhilu
Inaniuma sana nikifikira huwaga nalia maana hata watoto wadogo wanatucheka sana ( Mbao nao wanatamani wakutane na mnyama wamuadhibu hapo kidogo) eti Kila timu inaitamani simba
 
Litaendelea kuwa tawi na wao wameona kinachobebwa akibebeki wakaamua kukomaa nao tu, mchezaji Kama anawekewa mpira afunge anashindwa wangefanyaje sasa
Mtu kama Kibu nashindwa kuelewa kwa nini yupo simba.

Zile nafasi hapaswi kukosa.
 
Back
Top Bottom