Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
ManulaTatizo ni viongozi kuingilia benchi la ufundi.. Wanajua wazi wachezaji wengi wakigeni wa mwaka huu "wametupiga"" ila wanalazimisha wacheze.Asante Mungu leo kawaumbua kwa kuumia Kanoute,Mmeona mambo waliyoyafanya Muhilu,Mkude na Morrison. Kuanzia sasa kikosii tunapanga sisi wanachama mpaka mtakapopata mwalimu anaeleweka. Mechi ijayo kikosi ni ..Manula, Kapombe,Mohamed,Wawa, Onyango,Mudhamiru,Muhilu,Mkude,Kagere,Bwalya na Morrison
Kapombe
Zimbwe
Onyango
Kennedy
Mkude
Dilunga
Bwalya
Kagere
Ajibu
Duncan.