Simba ikisajili wachezaji 10 utakuta 8 ni mizigo 1 ni tia maji tia maji na 1 ndo mchezaji, na hii inaonesha jinsi gani kamati ya scouting na usajili ambavyo haipo serious au kama ipo serious basi haipo professional kabisa
Ukitaka kuelewa nachosema jaribu kuangalia performance na output ya wachezaji waliosajiliwa msimu huu simba sc
Kapama
Okwa
Kyombo
Ottara
Mzungu
V. Akipan
Okrah
M.phili
Kati ya hao ukimtoa phili na Okrah kwa mbali waliobaki ni mizigo na sasa wanaenda kuogeza mzigo mwingine maana umri na performance ya Saido kwa sasa ni changamoto kwa timu zenye pressure ya kushinda kila mechi kama Simba na Yanga.