Simba SC nawasihi sana tulizeni Vichwa vyenu kwa Sajili za Dirisha hili Dogo

Nauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo ya Kuokota Makapi Makapi.
Naungana na mawazo yako yote isipokuwa maneno matatu ya mwisho kwenye maelezo yako hayajanibariki kumuongelea binadamu.
 
Naomba Radhi kama yamekukwaza Kiongozi wangu na Rafiki yangu mkubwa hapa JamiiForums.
 
Nauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo ya Kuokota Makapi Makapi.
Hela watapata wapi akina kigwa wameshamkoromea tajiri na ajenti wa tajiri aliyezuuia mianya ya upigaji kwenye timu ,kuzuia fedha za wazee wa timu, fedha za waganga wa timu nk wameshamzuria figisu figisu mpaka amesema January anaachia ngazi?
 
Simba wanahitaji think tank kama GENTAMYCINE, sijui kwanini hawajaamua kuzitumia rasilimali hizi na kuziacha zikitema madini tu hapa JF?
Hujui kuwa Tanzania Think Tanks ndiyo Wanadharaulika, Wanapuuzwa na ndiyo Masikini wakubwa ila wale Wajanja Wajanja ( Samjo Samjo ) na Dhaifu Kifikra ndiyo Wanakubalika na Wanaongoza kwa Utajiri na Maisha mazuri?
 
Nauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo ya Kuokota Makapi Makapi.
Issue sio kusajili issue hela,siku hamna wachezaji wanaocheza kwa moyo, juzi Chama kwenye Insta live anadai alosema mkataba wale unaisha June 2023,je hela mnayo. Sasa kuna Yusuph Bakheresa hamtumii dalali anakuja mwenyewe na mzigo wake, we unazani Chama atakataa akipewa mzigo mrefu na mkataba wa miaka mitatu?

Kweli Fei kakosea kuvunja mkataba bila kuihusisha timu aliyo ingia nayo mkataba, ila Yusuph hela anayo anaataendelea kutusumbua kwani Simba na Yanga wanatumia Madalali ,Yusuph anaemfuata mchezaji mwenyewe na kitabu chake cha cheki.
 
Simba ikisajili wachezaji 10 utakuta 8 ni mizigo 1 ni tia maji tia maji na 1 ndo mchezaji, na hii inaonesha jinsi gani kamati ya scouting na usajili ambavyo haipo serious au kama ipo serious basi haipo professional kabisa

Ukitaka kuelewa nachosema jaribu kuangalia performance na output ya wachezaji waliosajiliwa msimu huu simba sc
Kapama
Okwa
Kyombo
Ottara
Mzungu
V. Akipan
Okrah
M.phili

Kati ya hao ukimtoa phili na Okrah kwa mbali waliobaki ni mizigo na sasa wanaenda kuogeza mzigo mwingine maana umri na performance ya Saido kwa sasa ni changamoto kwa timu zenye pressure ya kushinda kila mechi kama Simba na Yanga.
Hata uyo okrah sijawahi kumwelewa kivile anakimbia kimbia tu uwanjani ni mchezaji machachari ila hana hatari yoyote
 
Saidoo ndo mana kapewa mwaka mmoja na nusu,sababu ya umri wake.
 
Nauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo ya Kuokota Makapi Makapi.
Naunga mkono hoja
Screenshot_20221226-065802_Gallery.jpg
 
Simba ikisajili wachezaji 10 utakuta 8 ni mizigo 1 ni tia maji tia maji na 1 ndo mchezaji, na hii inaonesha jinsi gani kamati ya scouting na usajili ambavyo haipo serious au kama ipo serious basi haipo professional kabisa

Ukitaka kuelewa nachosema jaribu kuangalia performance na output ya wachezaji waliosajiliwa msimu huu simba sc
Kapama
Okwa
Kyombo
Ottara
Mzungu
V. Akipan
Okrah
M.phili

Kati ya hao ukimtoa phili na Okrah kwa mbali waliobaki ni mizigo na sasa wanaenda kuogeza mzigo mwingine maana umri na performance ya Saido kwa sasa ni changamoto kwa timu zenye pressure ya kushinda kila mechi kama Simba na Yanga.
Ana asist 6 ligi kuu na goli 4 hivi na uzee wake

Hivi kati ya Lukaku na CR7 wewe ukipewa uchague nani acheze kwenye idara ya ushambuliaji wa timu yako utamchukua Lukaku kisa ana umri mdogo kuliko CR7 ?
 
Back
Top Bottom