Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Saido sio garashaNauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo ya Kuokota Makapi Makapi.