Simba SC nawasihi sana tulizeni Vichwa vyenu kwa Sajili za Dirisha hili Dogo

Mini ninadhani kuwa usajiri ndani ya Simba inandeshwa kwa nguvu ya watu wachache tu. Hawasikilizi bwnchi la unfundi hata kidogo. Wakati kocha mspaniola alipoona kuwa Chama hana spidi aliyokuwa akitaka yeye kwenye squad yake, akalaumiwa hadi kufukuzwa.
Kwa hiyo wewe ungekuwa kiongozi unavunja mkataba wa mchezaji kisa kocha hapendi uchezaji wake , siku kadhaa mbele kocha anapata deal kwingine anasepa anakuja kocha ambaye anataka mchezaji mwenye sifa za Chama mnarudi sokoni tena kusaka mchezaji?

Kocha mzuri si yule anayeshindwa kumtumia mchezaji ipasavyo bali ni yule anayemtumia mchezaji kulingana na mazingira ya timu husika.Huwezi kuwa kocha mzuri kwa kukataa wachezaji unaowakuta kwenye timu.

Hivi huyo Pablo alikuwa anafundisha mpira wa spidi kweli au tunadanganyana humu jukwaani?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Acha povu mzee. Kuna taratibu nyingi za kushughulikia mambo hayo kisheria bila kudhuriana pande zote husika.

Makosa ya wana simba kama wewe ni kuamini kuwa kocha anatakaiwa akifika tu basi trajectory yote ya timu inabadilika. Ndiyo maana katika kipindi kifupi imefukuza makocha wengi sana. Wewe unajua Pablo alikuwa anafundisha mpira gani, na kwa nini hawakukuchukua wewe kuifundihsa timu badala ya Pablo.
 
Hata hueleweki , jibu hoja ,wewe unaweza kumfukuza mchezaji au kumkataa kisa hachezi kwa spidi unayotaka? Timu yoyote duniani husajili kulingana na mahitaji ya wakati wake huwezi kumwachia kocha asajili apendavyo tu wewe ukakaa pembeni as if huyo kocha ana mkataba wa maisha tena guaranteed kukupa mataji.

Fikiri upya

Back
Top Bottom