John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Kwanza nikiri kwamba nitazungumza bila unafiki na kwa nia ya dhati kabisa naomba nitoe mtazamo wangu kwamba tukiwa kama moja ya klabu inayokuja kwa kasi nadhani wanasimba tuna mengi ya kujifuñza kutoka kwa watani zetu Young Africans wanaofanya vizuri nyumbani na kimataifa.
1.Mpira ni uwekezaji
Wenzetu wamewekeza vyema kwa kununua wachezaji mahiri na kocha makini na ndiyo sababu wanafanya vyema katika michuano ya nje na ndani.
2.Mpira si uchawi
Hua nakereka sana kuona katika karne hii ya 21 bado tunaamini katika ushirikina jambo linalotuangusha sana na kuwafanya wenzetu wawe bora zaidi yetu, Kwani mpira umebadilika!
3.Tujikite katika kutafuta vikombe na mataji sio sifa
Kila siku klabu yetu ni kelele tupu mitandaoni na kupeana vichwa lakini ukiuliza tuna makombe/mataji mangapi? Hakuna! Taji ni kuifunga Yanga/Wydad 😄 hii ni aibu, tofauti na Yanga wanaopambana kwa malengo ya kutwaa ubingwa
4.Yanga anaongoza kwa kila kitu dhidi yetu, Amechukua ubingwa Ligi kuu mara nyingi zaidi yetu, Bado anaongoza ligi,Ameongoza kundi lake CAF,amechukua vikombe vyote vya ndani wakati huo tukipongezana kuwafunga watanì 😄
5. Nitarudi kuendelea..........
Guvu moya