Simba Sc tuna mengi ya kujifunza kutoka Yanga

Bado unaweweseka na viwili vya Kibu D na Inonga.Simba imechukua miaka 4 mfululizo na FA 2 na quarter finals za michuano ya Africa mara 4.Wameongoza kundi alilokuwepo Al Ahly.
Baada ya miaka 30 ndio mmefanikiwa kuingia losers Cup baada ya kuvurumushwa Champions League. Tuige ujinga?
 
Hata usiporudi 😄😄😄
 

Simba kamfunga Yanga Juzi tu! Nyanga yuko
Daraja la pili la CAF wakati Simba wako Daraja la Kwanza CAF. Nani wa kujifunza kwa mwenzake?
 
Naunga mkono hoja, Chama yupo slow sana kufanya maamuzi, tofauti na mtu kama Bakari Nondo.Baleke ndiyo kabisa bila mipira ya kubahatisha hakuna kitu, huwezi mlinganisha na mtu kama Moloko pale Yanga, kuanzia kimbinu kiuchezaji morali yaani kiufupi Sioni Simba tukishinda huko ugenini tungeweza tungemuazima hata Mayele lakini ndiyo hivyo tena, Haiwezekani.
 
Subiri vichwa maji yaje kukuparua
 

Acha kuongea sana ; wakati mwingine Mpira ni Bahati; Yanga ame pata bahati ya kupata njia Rahisi. Path yake ni rahisi

Mfano angekutana na timu kama
Orlando pirate , Pyramids ndio ungejua Yanga haina ubora unaoongelea .

Kama aliweza kutolewa na alhilal kirahisi tu ; kubali kuwa still
Yanga inahitaji kujifunza
 
Matusi na kelele za mikia mwisho ijumaa watakandwa wiki (7-0) na kukaa kimyaaa, baada ya hasira kupungua wataanza kuangalia mechi za Yanga kumalizia ligi kwa kubeba kombe na mechi za Yanga nusu fainali Shirikisho Sasa hapo wataanza Fujo za kung'oa viti uwanja wa Taifa na kudai wapewe mikeka kukalia na hasira zikiwajaa wataanza kutaka makocha, Mo , Ahmed Ally na wachezaji wazee kina Kibu, Babu Onyango na mwanae Bocco waondoke!!

Simba ni kenge anaesindikiza mamba kwenye klabu bingwa!

Debe tupu fc haliachi kuvuma!!
 
Yani wewe unaona Orlando pirates ambao hawajafuzu ndio timu hatari kuliko hawa akina Rivers waliofika robo fainali? Akili ya wapi hii?

Kweli sisi makolo ni mbumbumbu!
 
Bila shaka umetumia mechi za yanda dhidi ya rivers na dhidi ya mazembe kusema simba ana la kujifunza kwa ynaga; ni vema kwa kuwa umeliona hilo lakini jiulize yafuatayo

1. Yanga kaongoza kundi akiwa na monastir aliyetolewa na ahly CAFCL, alikuwa na mazembe aliyetolewa na vipers CAFCL, na alikuwa na bamako mgeni wa makundi. Sasa angalia mbabe wa mazembe CAFCL kafanywa nin na simba? ukiachana na yangawenyewe aliyetolewa na al hilal CAFCL

2. Robo fainal yanga kashinda ugenin dhidi ya rivers aliyetolewa CAFCL na wydad AC. Hapo ndo unagundua kuwa kwa kigezo cha kuongoza kundi, karibia wote ni loosers wa CAFCL na kwa kigezo cha kushinda ugenini ni kutokana na udhaifu wa timu hizo (kwa sasa)

3. Simba robo fainal alitakiwa akutane na mmoja kati ya Wydad, Mamelod au Esperence, hawa wote wako ndani ya vilabu bora vitano africa na akaangukia kwa wydad ambaye ni wa pil kwa ubora afrika, ulitegemea simba ashinde kama yanga alomfunga rivers aliyeko nafas ya 31?

Yanga amewekeza kwa kias chake na sidhani kama kamzid simba maana hata mashindano wanayoshiriki hawa wawili ni tofauti na ndio maana simba akiishia robo alaf yanga akaishia nusu fainal ndipo watakuwa wamevuna point sawa CAF kwa msimu huu

Kwa taarifa yako, kombe la shirikisho lina ahueni na linatoa fursa ya kusogea mbele zaidi lakini CAFCL kuna hatua ukifika utakwama tu maana akina Wydad, Ahly, Raja na Esperence bado vilabu vingine vya afrika havijafika hatua ya kushindana nao kisoka akiwemo huyoamelod lakin shirikisho yeyote anatoboa ndio maana akina pyramids hawatak CAFCL badala yake wanakomaa na CAFCC ili wapate ubingwa kirahs wakijua kuwa CAFCL ina wenyewe
 
Jwaneng galaxy alikuw bora, mbona hukupita....
Mtulie yanga yuko vizuri, na ana anawaza ubingwa wa shirikisho ambao wewe ulikushinda mwaka jana.
nafikiri tusiongee sana yanga yupo kwenye increasing rate na huku simba yupo kwenye decreasing rate, mwakani hamuingii robo na mtazidi kushuka viwango mpaka MO ajirekebishe
 
YANGA mpk sasa kakutana na timu gan ya maana huko CAF? level za Al Ahyl na Wydad , subir apangiwe mtu mwenye akili sio almighty Tp Mazembe ambae hata kushinda kwake mechi 3 kashindwa
 
Jikite kwenye hoja je! Katika aliyo ongea Kuna alilo ongopa?
timi gan ya maana Yanga kakutana nayo huko CAF ? muwe wavumiliv tu labda awe na njia nzur ila hao wakija Pyramids kama akikutana nao bas analala nje ndan
 
Yanga hii hii tulikuwa nao Klabu bingwa wakashushwa kwenda Shirikisho?

Hebu kuwa serious hatuna cha kujifunza kutoka Yanga.

Kipindi anachopitia Simba ni kawaida katika ulimwengu wa soka.

Klabu nyingi hata mbele huko huwa zinapitia kipindi kama hichi cha Simba mfano Barça, Man U, Liverpool, Chelsea, Juventus
 
Dah povu la Inonga na Kibu D.Kunywa maji kaa dakika 2 isiposaidia nunua kamba kwa Mangi nitalipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…