Simba SC v Young Africans SC

Tuko pamoja mkuu, hata mi nimetafuta radio iliyo online nimekutana na Uhuru pekee ndio walio mtandaoni; Ila sidhani kama nitaweza kumaliza maana, leo nna wasiwasi kama simba tutatoka
Acha uoga mkuu.....
 
Kona ilipigwa na Niyonzima Kavumbagu kamwangilia Kaseja amekaaje
 
Tuko pamoja mkuu, hata mi nimetafuta radio iliyo online nimekutana na Uhuru pekee ndio walio mtandaoni; Ila sidhani kama nitaweza kumaliza maana, leo nna wasiwasi kama simba tutatoka

Tayari tushapigwa kamoja.
 
Werrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
 
Mkuu wabhejasana ni muhimu kushiriki kila nyanja ya maisha, na michezo ni mojawapo ya eneo ambalo linasaidia sana kuondoa stress na hasira. Baada ya kukurukakara za siasa all week days ni kawaida yangu kujichanganya viwanja vya michezo siku za weekend.

Tuko pamoja mkuu mimi niko upande wa jangwani bila shaka wewe uko msimbazi kwa mzee wa bastola.
 
Thubutuuuuuuuuuu,nife!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…