Simba SC v Young Africans SC

Haki ya mama yangu mzazi sijawahi kuona uwanja wa Taifa umejaaa kiasi hiki,ndio kwanza natinga ndani ya uwanja huu,robo tatu ya uwanja umesheheni rangi ya njano,kijani na nyeusi.
Tupieni na picha basi wakuu.
 
Tupieni vikosi basi tuone ushindi unalalia wapi.
 
Full nyuki,full nundu,mtu nyomi taifa aise.
Wachezaji wanapasha misuri yao sasa.Pia naona Wachezaji wa Simba wanakizunguka kibendera cha kona.

Uwanja tayari ndani umetapika.
Walioko nje ya uwanja ni nyomi ya kutosha pia.
Sa wakiingia watakaa/simama wapi?

Hii hataree!
 
Haki ya mama yangu mzazi sijawahi kuona uwanja wa Taifa umejaaa kiasi hiki,ndio kwanza natinga ndani ya uwanja huu,robo tatu ya uwanja umesheheni rangi ya njano,kijani na nyeusi.
Mkuu upande wa Yanga umejaa full hakuna nafasi,nenda sogea kule upande wa Simba.
Na hiyo nyomi iliyoko nje sijui watakaa wapi kudadadeki!
 
Tupieni vikosi basi tuone ushindi unalalia wapi.
Heres Young Africans line-up to face Simba SC today:
1.Ally Mustapha - 1
2.Mbuyu Twite - 6
3.David Luhende - 29
4.Nadir Haroub 'Cannavaro' -23
5.Kelvin Yondani - 5
6.Athumani Idd 'Chuji'- 24
7.Saimon Msuva - 27
8.Frank Domayo - 18
9.Didier Kavumbagu - 7
10.Hamis Kiiza - 20
11.Haruna Niyonzima - 8

Subs:
1.Said Mohamed - 30
2.Juma Abdul - 14
3.Oscae Joshua - 4
4.Nurdin Bakari - 22
5.Nizar Khalfani -16
6.Said Bahanauzi - 11
7.Jerson Tegete - 10
 
Mkuu upande wa Yanga umejaa full hakuna nafasi,nenda sogea kule upande wa Simba.
Na hiyo nyomi iliyoko nje sijui watakaa wapi kudadadeki!

Mkuu mimi nina kibali maalum niko kwa wageni rasmi huku juu kabisa na tayari nimekaa,uwanja unatisha kabisa.
 
Mkuu weka na kikosi cha Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…