Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hawa supersport online hawapo?
Wakuu hakuna chanel ya bongo itakayoonyesha mechi hii?
Nani huyo?
Thubutu!?atakuwa shabiki wa simba tu maana anajua yanga hawawezi kushinda gemu hili
hao ndo mashabiki wa msimbazi bana watoto wa mbunge a k a kibastola
Ha ha ha haah!! Nipo hapa Makuti Morogoro, nimechelewa usafiri wa kuja taifa.......nitafuatilia kupitia hapa JF. Nategeme utarusha live mkuu na wadau wengine.
Mkuu kama hauna access mi nitakuwa nawapa raha. Kiongozi wangu Akilimali kasema leo ushindi upo.
Mkuu nimeipata radio ya CCM, Radio Uhuru.
Hapo kwenye RED ondoa hilo neno.Ha ha ahaaah!! Ana uhakika watashinda labda.
ha ha ha haaah!! Mkuu haya ngoja nimtafute huyo Aisha nianze kupiga Kinana Lager taratibu, huku nikisikilizia huko taifa...Hahaha thutubu mi nitatiririka Live hapa mwone shemeji yako Aisha ila usimtongoze.
Full nyuki,full nundu,mtu nyomi taifa aise.
Wachezaji wanapasha misuri yao sasa.Pia naona Wachezaji wa Simba wanakizunguka kibendera cha kona.
Star TV wanaonyesha mechi ya Azam na Oljoro.Tegesha star Tv sina uhakika
Leo nimeamua kusikiliza radio ya CCM, kweli kila kitu kina faida na hasara, leo naona faida ya CCM kuwa na radio, nimehangaika kutafuta radio yoyote iliyo online inayotangaza hii mechi; nimeanzia TBC Taifa bila bila, Kiss FM bila bila, Radio One hakuna kitu, cha kushangaza radio ya CCM imeniokoa. Leo ndo nimefaidi kodi yangu inayoenda CCM kama ruzuku.