Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Leo watakoma hawa watoto,na hapa ndipo wanapothibitiosha kwamba wao ni watoto.
 
Kudadadeki kweli wa 1 havai 2....................Barthez anadhihirisha kuwa hata Babu Kim alichelewa kumwita team ya Taifa
 
Huyu fa** kapiga penalt kama bibi kizee kulaleki ngoja wafungwe tu
 
Simba wanakosa penat kupitia wiliam lucian,ng'ombe wa masikini hazai.MIA
 
Acha uoga mkuu.....
Umeona Katavi, siyo uoga yaani nimelog off hii Uhuru kwanza huenda wao ndio source ya kufungwa maana redio yenyewe kijani, na yanga kijani; si wanaweza kufanya kampeni ya kutangaza goli la bandia ili kutuumiza wasikilizaji
 
Leo tutakoma, jamani imekuwaje Mstafa amedaka au amepiga nje?
 
Huyu Canavaro naye aache Usenge,hii game ya kulipa kisasi
 
Back
Top Bottom