CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Huyu dogo Ngassa sijui vipi kha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wanapewa penalt ya bure
Huyu dogo Ngassa sijui vipi kha!
Penalt lol!
Nawe ngoja ya kununua
Umeona Katavi, siyo uoga yaani nimelog off hii Uhuru kwanza huenda wao ndio source ya kufungwa maana redio yenyewe kijani, na yanga kijani; si wanaweza kufanya kampeni ya kutangaza goli la bandia ili kutuumiza wasikilizajiAcha uoga mkuu.....
Barthez bonge la kipa kacheza penalt ya Mussa Muddle
Siyo mbaya hiyo ni penati halali.