La Biblicana
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 556
- 343
Naona mnaongea-ongea sana, nimekuja kusawazisha na hatimae kufunga kazi
Tupeni score board inasemaje?
huyu anaweza kuwa msaada angalu droo ipatikaneAmir Maftah anajiandaa kuingia
Hahah...
kweli Libolo limeng'ang'ania naona Simba wanaotea tu hapa...
Haaah, sio penati duuh
Halafu kadiri wanavyohangaika kulichomoa libolo, ndio linazidi kuzama!!!!
Yataka moyo na akili kama ya mwendawazimu kuonyesha hadharani dhahma,dhoruba na kashkash za LIBOLO