Simba sc vs libolo!

Simba sc vs libolo!

Liboro limeshatupia kwa kichwa limepiga bao Jaoa martin beki kati ni Nyoso na Keita leo mnapigwa miboro 8
 
Kwa hakika simba ninayoifahamu sio ile ya akina Mohamed Mwameja,Madaraka Seleman,Abdul Mashine na wengineo.hii timu tangu akabidhiwe huyu msomali bure kabisa.
 
Golini Kaseja au mganda? Libolo limetumia dawa ya kuongeza nguvu za kiu...mapema yote hii mara goli?
 
Tokea lini soka likaongozwa na Mwanamke? Mwanamke kwake kitandani na Jikoni Tokea lini mwanaume akaongozwa na Mwanamke? We huoni Annie Makinda anavyovuruga Bunge?
 
Wamezoea kununua penati hawa simba, yafundishe mpira hayo masomali ujanjaujanja tu
 
Kwa hakika simba ninayoifahamu sio ile ya akina Mohamed Mwameja,Madaraka Seleman,Abdul Mashine na wengineo.hii timu tangu akabidhiwe huyu msomali bure kabisa.

we nae...!! Unaota nini? Unaleta habari za hao watu saa hizi? Waliwapa kombe gani hao kina Mwameja kama sio kulitia aibu taifa kwa Stella Abijo au ulikuwa hujazaliwa?
 
Mechi kubwa ya kimataifa hata TV Moja haionyeshi Live!! Kweli Msomali yake Ni Mirungi na Kuteka Meli. That ALL
 
Mechi kubwa ya kimataifa hata TV Moja haionyeshi Live!! Kweli Msomali yake Ni Mirungi na Kuteka Meli. That ALL
hata mimi nashangaa!yaani Azam jana wameonyeshwa kupitia starTV wao hata clouds tu wameshindwa!!!
 
Naona aibu ku-comment'ila thimba wako nyuma kwa goli moja,sisemi wamefungwa na nani.
 
Nasikia Simba kashachapwa na Libolo
 
Back
Top Bottom