Nimekumiss wewe dada.Hyo habari umeitoa wapi?? Ni official page ya Simba au?
AiseeeeJana nilimcheki try again na mangungu yanavyokenua kubeba muungano nikakasirika mpaka nikawaza ndio maana kuna watu huua bila kukusudia!simba haijawahi kuwa na viongozi wapuuzi na mbumbumbu kwa hawa wawili!
Sasa umethibitisha kuwa ni kweliHyo habari umeitoa wapi?? Ni official page ya Simba au?
Alitia huruma sana.
ni basi tu mtu huwez acha ushabiki ila simba tuko poda vibaya mno!fogo mo nae kama kajikataa ivi haeleweki!Aiseeee
Duh, masuruali yamerudi tena! Kazi kweli kweli! Mwinyi Zahera awafunge hawa washike adabu!View attachment 2976013
Kocha Juma Mgunda na msaidizi wake Selemani Matola Kuiongoza Simba SC mpaka mwisho wa msimu huu. #CrownSports credit by crown media
Ilibidi TFF wafikirie haraka haraka kitu cha kubuni ili angalau apate kombe😂Hii siku ikabidi atulie kwanza atafakari amefikaje huku🤣🤣 sidhani kama alishawahi kufikiria kwenye maisha yake atakutana na hii hali
View attachment 2975985
Kocha la Makombe likiwa linatafakari kunyakua kombe la muungano
huyu Kocha hana Shukrani, pamoja na jitihada za Simba kumtafutia michuano ambayo walianzia moja kwa moja nusu fainali yeye bado kaamua kuondoka.Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili.
Pia soma:
- Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu
- Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’
----
Kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake rasmi wameachana na klabu ya Simba baada yakufikia makubaliano ya pande zote mbili.
Kwa sasa Juma Mgunda atakuwa Kocha mkuu wa muda kwa Simba na msaidizi wake ni Seleman Matola, Michael Igendia atakuwa kocha wa viungo.
View attachment 2976046
Robertinhio akirudi tunapiga tena mkono!Benchika ndiye kocha kimeo kuliko makocha wote walioajiriwa na simba toka Mo aichukue timu.
Afadhali simba imrudishe robertinho
Andika Kiswahili vizuri ueleweke. Siku nyingine usiandike ukiwa umelewaPeleka cv yake pale Simba uwe coach wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo mengine bora wangekaa kimyaSasa sababu ni mke anaumwa...vipi na wale wasaidizi wake nao wake zao wanaumwa au??
naunga mkono hoja[emoji23][emoji23][emoji23] mambo mengine bora wangekaa kimya
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app