Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] watu wenye njaa hata uwezo wao wa kufikiri ni matatizo!!..
 
Jamaa kaweka 20 B hata investment haijaanza officially wewe ambae hujui Una kula nini unajua Uwekezaji hauna maana Yani wewe ni takataka pro max
Hizi ndizo takataka nazoongelea, kwanza hakuna ushahidi wa hizo bil 20 kutolewa zaidi ya magezeti tu, na hata zimetolewa hicho siyo kigezo cha kujiamulia mambo kienyeji. Mwanzoni nilifikiri una hata akili kidogo kumbe kichwani ni mweupe kama unakula udongo.
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] watu wenye njaa hata uwezo wao wa kufikiri ni matatizo!!..
Huu ujinga ndio unaita kufikiri, kama una njaa njoo tukulishe kwa sababu zaidi ya kuwa na tumbo huna cha zaidi.
 
Hizi ndizo takataka nazoongelea, kwanza hakuna ushahidi wa hizo bil 20 kutolewa zaidi ya magezeti tu, na hata zimetolewa hicho siyo kigezo cha kujiamulia mambo kienyeji. Mwanzoni nilifikiri una hata akili kidogo kumbe kichwani ni mweupe kama unakula udongo.
Wewe hata huna sehemu ya kuangalia au kusikiliza habari alafu upo Una shupaza mishipa ya shingo hapa!!....Zuzu
 
Acha tabia za kike za kuzungumza ujinga, Simba yenyewe hapo Bahresa alitaka kuweka pesa ya maana, akapigwa majungu na hawa akina na Mo kuwa siyo mwanachama, sasa unabana pua hapa, eti kuawekeza bil 20, uliziona ?? watu wanawekeza trillions, wewe tunazungumza vapour gani, acha ukiazi wako.
 
You know everything
 
Nafikili ni wakati sahihi kwa matola kuaminiwa na kupewa mikoba kwa kipindi hiki Cha mpito nadhani ameiva vyakutosha.
 
Back
Top Bottom