Simba Sc yaendelea kuingiza timu 4 mashindano ya CAF

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
SIMBA imeshaipa neema Tanzania 🇹🇿 baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo.

Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja.

Aidha Yanga kuwepo kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kimeihakikishia Tanzania pointi 0.5.

Timu hizo mbili zimefanya Tanzania iwe na pointi 29 na kushika nafasi ya tisa katika viwango vya mafanikio ya nchi kutokana na ushiriki kwenye mashindano ya klabu Afrika ambavyo nchi 12 zilizo juu ndizo kila moja inapata nafasi nne za uwakilishi kwenye mashindano ya Afrika.

Yanga watakuwa wamejipatia point 1 yaani 0.5 ya mwaka huu na ile ya 2018 walioshika mkia kwenye kundi
 
SIMBA imeshaipa neema Tanzania [emoji1241] baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo.

Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja.

Aidha Yanga kuwepo kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kimeihakikishia Tanzania pointi 0.5.

Timu hizo mbili zimefanya Tanzania iwe na pointi 29 na kushika nafasi ya tisa katika viwango vya mafanikio ya nchi kutokana na ushiriki kwenye mashindano ya klabu Afrika ambavyo nchi 12 zilizo juu ndizo kila moja inapata nafasi nne za uwakilishi kwenye mashindano ya Afrika.

Yanga watakuwa wamejipatia point 1 yaani 0.5 ya mwaka huu na ile ya 2018 walioshika mkia kwenye kundi
YANGA anao uhakika wa angalau alama moja, hawezi kutokea wa mwisho kwenye kundi lake.
Mechi ya BAMAKO vs MAZEMBE itazuia kupitwa na timu zote mbili.
 
Mbumbumbu fc ayo ndio makombe Yao.Muwe wavumilivu mtakaa katika Hali kama iyo ya kujifariji Kwa vitu vya kipuuzi Kwa muda mrefu sana.
Msimu huu kama mmekosa kombe la Mapinduzi basi msahau maswala ya Makombe.
Yanga limechongwa kabati jipya la makombe linatakiwa lijae ndani ya misimu mitano.
 
Tulia basi hata kama una maumivu ya huo mwiko wenu
 
CAF hawataki kabisa kuiachia Simba SC kuitaja yaani, mara nafasi ya 10 kwa ubora, mara wachezaji watatu wanaunda kikosi cha wiki, hatujakaa vizuri mara Chama mchezaji bora wa wiki wa CAF.
 
Mbumbumbu fc ayo ndio makombe Yao.Muwe wavumilivu mtakaa katika Hali kama iyo ya kujifariji Kwa vitu vya kipuuzi Kwa muda mrefu sana.
Msimu huu kama mmekosa kombe la Mapinduzi basi msahau maswala ya Makombe.
Yanga limechongwa kabati jipya la makombe linatakiwa lijae ndani ya misimu mitano.
Kuingiza timu nne ni jambo la kipuuzi?
 
SIMBA imeshaipa neema Tanzania 🇹🇿 baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo.

Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja.

Aidha Yanga kuwepo kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kimeihakikishia Tanzania pointi 0.5.

Timu hizo mbili zimefanya Tanzania iwe na pointi 29 na kushika nafasi ya tisa katika viwango vya mafanikio ya nchi kutokana na ushiriki kwenye mashindano ya klabu Afrika ambavyo nchi 12 zilizo juu ndizo kila moja inapata nafasi nne za uwakilishi kwenye mashindano ya Afrika.

Yanga watakuwa wamejipatia point 1 yaani 0.5 ya mwaka huu na ile ya 2018 walioshika mkia kwenye kundi
Wapongeze sasa
 
Mbumbumbu fc ayo ndio makombe Yao.Muwe wavumilivu mtakaa katika Hali kama iyo ya kujifariji Kwa vitu vya kipuuzi Kwa muda mrefu sana.
Msimu huu kama mmekosa kombe la Mapinduzi basi msahau maswala ya Makombe.
Yanga limechongwa kabati jipya la makombe linatakiwa lijae ndani ya misimu mitano.
Utopolo wenye akili ni Mzee wa msoga na manara senior wengine waliobaki wote hawana akili
 
Yanga anashiriki Klabu Bingwa kupitia nafasi yake halali baada ya kuchukua ubingwa wa Ligi kuu, au Kombe la ASFC!

Hayo masuala kuingiza timu 4, yanazisaidia timu za Azam, Geita Gold, Namungo, Singida Big Stars, nk. Kwa upande wa Yanga, hayana mashiko.
Unashida mkuu? Mwenye uzi amesema Tanzania wewe unasema Yanga kwani Yanga ni Taifa mkuu,
 
Ngoja vijana wa GSM waje, saizi wapo kushusha mizigo ya silent ocean pale port. Jiandae psychologically
Aisee nilikuwa mbali nimekuja baada ya kusikia kelele za mavuvuzela ya litimu la mambumbumbu linaloshiriki klabu bingwa kwa kucheza na mabingwa ila nyumbani kwao haina hata harufu ya ubingwa!

Hata kombe la Mapinduzi makolo hawana! Aibu sana kazi kujifariji na vi tuzo uchwara vya kina Chama!

Yanga tunajibeba wenyewe kucheza CAF leagues kwa kubeba makombe ya ligi hatuhitaji litimu bovu la Mikia kutubeba.

Mikia fc wajiandae maumivu ni miaka mitano maana Yanga Kila mchezaji anafunga!na Kila mechi kipindi Cha pili moto wake si wa nchi hii! Makolo siku mkiingia Kwenye 18 za Utopolo mmekwisha! April!

Utopolo tunahitaji kujifunza kupiga penati tu maana penati za Mzinze na Bangala hazijatua Bado!
 
Back
Top Bottom