Simba SC yaigaragaza Mbeya City goli 3-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar

Hahahaaa. Hivyo akikabwa Bocco basi Kwasi anapaswa kuzidi Mtani.

Sababu ile ni zaidi ya kubaki peke yake. Hahahaaaaa.
Ufundi Ule Mtani Ulizani Ni Offiside Inamaana Refa Ajaona Kweli Mtaniii
 
njoo Shunie mrembo tuangalie Mfalme wa Nyika akicheza.... baada ya jana vyura kucheza cheza tu kwenye mashamba ya alizeti.
 
Ufundi Ule Mtani Ulizani Ni Offiside Inamaana Refa Ajaona Kweli Mtaniii
Hahahaaa. Marefa wetu hawa Mtani labda ingekuwa Ulaya kwenye teknolojia ya Goli ila huku kwetu mmh.

Ila wacha nikubali tu Mtani sababu ndio lishakuwa goli tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…