Hahahaaa. Na wakishasikia Okwi, Adebayo basi nguvu zinawaishia kabisa.
Hahahaaa. Na wakishasikia Okwi, Adebayo basi nguvu zinawaishia kabisa.
Mbao ana uhakika Wa point 6 toka Yanga Singida pia ana uhakika kwa Yanga
Hahahaaa. Sikumbuki aiseee.ivi mara ya mwisho kuskia simba na yanga zimefungwa na timu za mikoani uwanja wa taifa ilikuwa mwaka gani?
Hivi ni 29… au ni 26!? Nisije nikasahau!!Hahahaaa. Haya bana Mtani.
Ila tukumbuke tu na trh 29.
Hahahaaa. Ni 29 Mkuu.Hivi ni 29… au ni 26!? Nisije nikasahau!!
Hujapata mwaliko kwenda kwa RC?!Hivi ni 29… au ni 26!? Nisije nikasahau!!
Yule jamaa aliyeanzisha Uzi ameshindwa kwenda na kasi ya mchezoKwani mpira umeisha? Ngapi ngapi?
Daaaah! Bora! Ingekuwa ni 26....jamaa hawachagui kama unakwenda/unatoka mpirani!Hahahaaa. Ni 29 Mkuu.
Ha ha kwa soka lako kama la jana na Singida Utd, naona kama kuna nyingi, labda ubadilikeHahahaaa. Haya bana Mtani.
Ila tukumbuke tu na trh 29.
Ushindi ni jadi yetu. Bao 3 pointi 3 hatupoi. Simba SC yetu. Mwaka wetu.
This is Simba
Hahahaaa. Haya bana Mtani.
Ila tukumbuke tu na trh 29.
Manara FC....Ushindi ni jadi yetu. Bao 3 pointi 3 hatupoi. Simba SC yetu. Mwaka wetu.
This is Simba
Kwani ni mnazi wa klabu gani. Isije kuwa ni Vyura FC. Kaona bao zinamiminikaYule jamaa aliyeanzisha Uzi ameshindwa kwenda na kasi ya mchezo