Simba SC yaigaragaza Mbeya City goli 3-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar

Simba SC yaigaragaza Mbeya City goli 3-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar

ivi mara ya mwisho kuskia simba na yanga zimefungwa na timu za mikoani uwanja wa taifa ilikuwa mwaka gani?
Hahahaaa. Sikumbuki aiseee.

Ila ngoka wadau kama wana kumbukumbu za hivi karibuni.
 
Ushindi ni jadi yetu. Bao 3 pointi 3 hatupoi. Simba SC yetu. Mwaka wetu.

This is Simba
 
Back
Top Bottom