Thanks.. finally nimerudi tena.Nilikumiss
Kuna wengine vichwa vya kuku hawaamini badoHivi kwa hii Simba bado kuna mtu anamashaka nayo?? Kama yupo.. Nadhani Mirembe inamuhusu.
Mkuu mpira ni dk 90.. vuta subira.Kweli mna kiu ya ubingwa! !!! Hako kagoli kamoja ndo kanawaamsha popo?
Muamala ulisomaNi wazi kabisa mechi hii ni ya ushindani, tofauti na mechi ya jana Madeni FC sijui waliwapa nini wale Ndanda
mda wake ukifika atacheza sanaSasa Mavugo ndo mnyama mmempoteza, bora arudi Burundi. Figisu za mnyama haziwezi
Dk 81; Sisi 1 Wao 0Update vipi??