Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

Shiza Out.. Mwinyi Kazimoto 'Ball Dancer' In
 
Ni wazi kabisa mechi hii ni ya ushindani, tofauti na mechi ya jana Madeni FC sijui waliwapa nini wale Ndanda
 
Mkuu sembo wakumbushe Yanga,mwezi kama huu tulikuwaga na mtani jembe
Haha.. Mkuu tarehe kama hizi tulikua tushachukua mwali wetu zamaani.. tunajiandaa kwenda kuchukua kombe letu la mapinduzi.

Kilimanjaro Lager, turejesheeni kombe letu.
 
Yale magoli yote ya jana aliyafunga malinzi na ujanja ujanja wake,na mwaka huu hatuachii hadi kieleweke coz mwaka jana mlijifanya kutengeneza viporo vingi ili mnunue mechi
 
Sasa Mavugo ndo mnyama mmempoteza, bora arudi Burundi. Figisu za mnyama haziwezi
 
Back
Top Bottom