OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Watakuja utopolo kuniponda π π π π
HongereniMnyama Simba SC amepoteza fainali ya kombe la dunia kwa klabu zenye ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa Twitter kwa mwaka 2023 dhidi ya wababe wa krikeri kutoka India, RC Bangalore kwa 54% dhidi ya 46% ya kura zote 47,334 zilizopigwa.
Hongereni sana Wana Simba Sc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnyama Simba SC amepoteza fainali ya kombe la dunia kwa klabu zenye ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa Twitter kwa mwaka 2023 dhidi ya wababe wa krikeri kutoka India, RC Bangalore kwa 54% dhidi ya 46% ya kura zote 47,334 zilizopigwa.
Hongereni sana Wana Simba Sc
Wana msongo wa mawazoKila kukicha mnatafuta pakujifichia [emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watupe na ratiba kamili sasa ya siku ya kurejea nchini na kikombe chao cha udhindi, ili tukawapokee kwa nderemo na shangwe.Hongereni
AahaaaaaaWatupe na ratiba kamili sasa ya siku ya kurejea nchini na kikombe chao cha udhindi, ili tukawapokee kwa nderemo na shangwe.
Acha wivuNiko tayari kuchangia hata mifuko 20 ya saruji, kwa ajili tu ya ujenzi wa ile sanamu ya kumbukumbu.
Wanasimba wenzangu, tulifanye hili jambo mapema kabla yule Mzee hajatangulia mbele ya haki! Tumpe tu maua yake haraka iwezekanavyo.
Aisee! Wivu tena!!Acha wivu
Kiufundi hyo kauli yako imekaajeAisee! Wivu tena!!
Kufa kiume cup mnazo za kutosha mwaka huuTunazidi kujibebea makombe...
Mtajua hamjui walai...Kufa kiume cup mnazo za kutosha mwaka huu