OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mnyama Simba SC amepoteza fainali ya kombe la dunia kwa klabu zenye ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa Twitter kwa mwaka 2023 dhidi ya wababe wa krikeri kutoka India, RC Bangalore kwa 54% dhidi ya 46% ya kura zote 47,334 zilizopigwa.
Hongereni sana Wana Simba Sc
Hongereni sana Wana Simba Sc