Ukisema rekodi ya kuingia robo hata sisi tumeingia tofauti na rekodi ya mwaka huu 1969,1970,1995,1998.
Wakati huo kwanza nikubali Simba ilikua timu yenye consistency na ubora kiuchezaji wacha niisifie.
Ifuatilie As vita huo mwaka ilikuaje?
El merrikh tunaijua timu ambayo hoe hae 90% huwa inaishia makundi bora hata Al hilal Omdurman.
Mpinzani wako halisi kiubora alikua al ahly pekeake.
Ila tukizungumzia CURRENT PERFORMANCE Simba kuifananisha na Yanga matusi hasa kundi ambalo ninyi mmepangwa na mkapita kwa kusuasua na tizama kundi tulopita sisi.
Ukitizama current performance.