Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno yasiwe mengi, wacha tusubiri.
Kwa Asec kwangu uhakika?

Haya wewe kati ya hao watatu Al Ahly, Petro na Mamelod kwako yupi ana hafadhali, maana unajutapaga "huwa ogopi wakubwa wenzako........".
 
Watanzania ni watu wa ajabu, badala ya kushangilia kupeleka timu 2 lakini imebaki ni kuzodoana, hizo roho mbaya huwa haziishii kwenye utani huwa zinaenda hata kwenye vitu vya msingi.

Kwani Simba au Yanga imeingia robo fainali Simba imepunkiwa nini au Yanga imepungukiwa nini? Kama kuna mtu alikuwa anatamani Simba isivuke au yanga isivuke roho hizo chafu zitawatafuna hata kwenye mambo ya maendeleo.
Watani uhai wao ni utani. Acha wazodoane kwani ndio lengo hasa la utani
 
Kwa Asec kwangu uhakika?

Haya wewe kati ya hao watatu Al Ahly, Petro na Mamelod kwako yupi ana hafadhali, maana unajutapaga "huwa ogopi wakubwa wenzako........".
Cna naemuogopa hapo, yoyote aje, ila namtaka mamelody na mic kucheza nae mnoo.
 
Hivi unajua huyo ni me?
Acha izoo mkuuu umejuaje je ushawahi kumuona kwa Nini unapenda kudhalilisha wanawake
Mimi mbona namjua huyo vizuri kuwa ni she au umeiandika ili kujifurahisha hapa wewe embu jitahidi kuwa na heshima
 
Simba kacheza na Jwaneng Galaxy hawajawahi kufuzu robo fainali kwa miaka mitano mfululizo, miaka mitano mfululizo aidha hawafiki kwenye makundi ama wanashika mkia kwenye makundi.

Yanga kakutana na Belouzdad ambae kafuzu robo fainali mara tatu mfululizo na mwaka huu ilibidi iwe mara ya nne lakini Yanga wamewakatisha safari yao

Simba kajipigia vibonde wenzake, Yanga kapita tanuri la moto
umesahau Yanga haijawahi kufika makundi ya CL toka 98 mkuu,........ miaka karibu 26,,,,,

nadhan Yanga wana haki ya kushangilia sana kwenda QF...... hii ni mara yao ya kwanza
 
S
Mpira haukogo hivyo broo,simba na yanga hazijawahi kuombeana mazuri Na haitokuja kutokea
Sio simba na Yanga hazijawahi ombeana mazuri. Sema nyie vijana wa sasa msiojua utani wa jadi na mnaona kama ni uadui ndio mnaombeana ubaya. Sisi wakongwe tunaombeana mema na kama ingekuwa ndio sasa, Yanga asingekubali na kuruhusu kufungwa na Simba ili simba isishuke daraja. Ni nyie mlioingiziwa uadui na Haji Manara ndio mnaombeana hivyo mkuu.
 
Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi.

Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na kutoamini kuwa kweli wamefuzu robo fainali au ndoto za Mchana?

Huku wakiwakejeli Simba ambao wamewafikisha mahali walipo hivi sasa.mechi za makundi zimeisha na Timu zote hasimu kutingà robo fainali,huku Simba ikijikisanyia alama 9 na Yanga FC Alama 8

Hata hivyo Simba imekuwa na uwiano wa magoli 7 Kuliko Timu yeyote zilizoshiriki kwenye CAFCL hatua ya Màkundi.Onyo Yanga punguzeni mdomo haya mashindano Simba ni kama kushiriki MAPINDUZI CUP.
Vijana wa Rage mnapenda sana kuimba taarabu. Wakati mwingine muwe mnaimba hata bolingo basi.
 
Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi.

Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na kutoamini kuwa kweli wamefuzu robo fainali au ndoto za Mchana?

Huku wakiwakejeli Simba ambao wamewafikisha mahali walipo hivi sasa.mechi za makundi zimeisha na Timu zote hasimu kutingà robo fainali,huku Simba ikijikisanyia alama 9 na Yanga FC Alama 8

Hata hivyo Simba imekuwa na uwiano wa magoli 7 Kuliko Timu yeyote zilizoshiriki kwenye CAFCL hatua ya Màkundi.Onyo Yanga punguzeni mdomo haya mashindano Simba ni kama kushiriki MAPINDUZI CUP.
Miaka yote huwa ndio kwenye hatua ya makundi ndio sehemu yenu ya kujidai mara team of week, mara man of match, mara magoli mengi. Ikifika mechi ya robo fainali mafuta na maji na kelele zenu za ubora zinaishia hapo hapo. Mnaacha wenzenu wanasonga nusu fainali. Kwasasa timu zote zipo stage moja tunataka tuone yupi atampita mwenzie
 
Back
Top Bottom