Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Oya haulali leooo [emoji1787][emoji16][emoji23][emoji23]pumzika basi my [emoji23][emoji16][emoji16][emoji1787]
Nawapa dosage wagonjwa wanaoteseka km hawa, na nilishawapa taarifa wasubiri mpira uishee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona mna mtaka sana Asec? Si mumtake Mamelody au Petro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majini uchwara wa Avic mnachekeshaa kwelii.
Kwenye pool wapo hao watatu, so lazima ni mchague Asec sababu uwezo wa kumtoa ninao. Petro hii 50-50 ila Mamelod hawa sio wa kukutana nao mda huu. Ila Asec hawa nikikutana nao nusu fainali uhakika.
 
Mamelodi sundowns wakawaida sana huyo 😂 Kuna wahuni wanaitwa Petro de Luanda unawajua hawajaruhusu hata goli Moja Toka mashindani yaanze
 
Kwenye pool wapo hao watatu, so lazima ni mchague Asec sababu uwezo wa kumtoa ninao. Petro hii 50-50 ila Mamelod hawa sio wa kukutana nao mda huu. Ila Asec hawa nikikutana nao nusu fainali uhakika.
Bora mamelodi kuliko Petro de Luanda hivi unafuatilia ligi ya Angola ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkampa na maneno ya kuongea, ila utopoloo mnayawezaa,
Yaan hamuonagi hata aibu, kaumbuka kibonge mwepesi wa Gaborone. Uwiiiiih
😁🤣😂😂😂😂Hawa jamaa Leo wameyatimba yaani wamepigwa hadi wamelowa na mvua 🤣😁😁🤣
 
Kwenye pool wapo hao watatu, so lazima ni mchague Asec sababu uwezo wa kumtoa ninao. Petro hii 50-50 ila Mamelod hawa sio wa kukutana nao mda huu. Ila Asec hawa nikikutana nao nusu fainali uhakika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira hauko hivyo, Unaweza pewa Asec na bado usiende Semi, kwa Petro na Mamelody hapa usiseme chochote ni kupigwa nje ndaniii.
 
Mimi Asec napiga, Petro 50-50 ila Mamelod sijaongea chochote na ndio maana nikasema sitaki ni kutane nao sasa labda kuanzia nusu.
 
Petro huwezi fananisha na Mamelod, leo Mazembe wamepaki kontena, ball position 70+ pili wan experience kwenye stage hizi za kuanzia robo.
Unazingua wewe Petro de Luanda huwaga wanamtoa sana huyo mamelodi na fatilia rekodi zao utacheka sana mamelodi wakaida sana
 
[emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa Leo wameyatimba yaani wamepigwa hadi wamelowa na mvua [emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua Home, 2nd time nkasema naenda banda umiza kusuuza watu.
Yaan leo banda umiza, kelele zote zangu, mashabiki wa uto hawana hamu na mie kabisaaa.
 
Mimi Asec napiga, Petro 50-50 ila Mamelod sijaongea chochote na ndio maana nikasema sitaki ni kutane nao sasa labda kuanzia nusu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingekua hivyo, dkk hii hapa CL belouzdad na Wydad wangekua robo final.
Mpira hauko hivyo, niamini mie.
 
Unazingua wewe Petro de Luanda huwaga wanamtoa sana huyo mamelodi na fatilia rekodi zao utacheka sana mamelodi wakaida sana
Hamjui petro vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mamelody aliwahi tolewa nae robo, na alipigwa nje ndani.
 
Unazingua wewe Petro de Luanda huwaga wanamtoa sana huyo mamelodi na fatilia rekodi zao utacheka sana mamelodi wakaida sana
Kaka experience ina matter, hivi si ulitizama fainali mbili za UEFA Liverpool na Madrid, we unazani Liver alizidiwa,ila experience tu fainali ya kwanza Ramos,kamchezea rafu Salah katoka,Madrid wakafanya yao. Fainali ya pili Liver kala kidude ila game zima alidominate, experience ina matter sana.
 
Sasa km experience ina matter, wee na petro nani ana experience ktk hii michuano? Huoni hapo tayari wee uko nje ya ulingo?
 
Back
Top Bottom