Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Hamjui petro vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mamelody aliwahi tolewa nae robo, na alipigwa nje ndani.
Huwenda hawafatiliii hivi anamjua hata mwamba mmoja wakuitwa bebeto Kuna julinho na vidinho ni balaa sana hao 😂🤣😁😁😁
 
Kaka experience ina matter, hivi si ulitizama fainali mbili za UEFA Liverpool na Madrid, we unazani Liver alizidiwa,ila experience tu fainali ya kwanza Ramos,kamchezea rafu Salah katoka,Madrid wakafanya yao. Fainali ya pili Liver kala kidude ila game zima alidominate, experience ina matter sana.
Ingependeza zaidi tupewe asec ila hata tukipewa mamelodi sundowns tutamkazia tu
 
Hauwezi linganisha na Mamelody.
Sasa hao mamelody walishawahi tolewa na hawa petro, tena robo final na walifungwa home & away. Unasemaje hapo?

Ukisema current performance hata hawa Asec wako vzur, ndo maana wapo robo sahiv, tofauti na mwaka jana waliishia makundi.
 
Sio eti ww timu yako mbovu ndioaana ulishindwa kumfunga,tena dirisha dogo kauza wachezaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri ni kwamba, tuwe wapolee tusubiri draw ipangwe, tujue nan n nan.
 
Sasa hao mamelody walishawahi tolewa na hawa petro, tena robo final na walifungwa home & away. Unasemaje hapo?

Ukisema current performance hata hawa Asec wako vzur, ndo maana wapo robo sahiv, tofauti na mwaka jana waliishia makundi.
Sasa kutolewa unalinganisha na timu ambayo ina taji la CAF champions, ina lingine kachukua juzi na Wydad na miaka mitano nusu kwake kitu cha kawaida. Mamelod ni hatari msako wao si wakitoto na hawana cha ugenini wala nyumbani.

Narudia tena Asec wagumu kwako, ila kwangu nikikutana nae ujue naenda nusu.
 
Huwenda hawafatiliii hivi anamjua hata mwamba mmoja wakuitwa bebeto Kuna julinho na vidinho ni balaa sana hao [emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna yule jamaa fulani, sijui raia wa Tunisia vile, lina balaa lile khaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri ni kwamba, tuwe wapolee tusubiri draw ipangwe, tujue nan n nan.
Ndio hivyo ila kauli yangu haibadiliki, nikikutana na Asec kaa ukijua na ingia nusu.
 
Sasa kutolewa unalinganisha na timu ambayo ina taji la CAF champions, ina lingine kachukua juzi na Wydad na miaka mitano nusu kwake kitu cha kawaida. Mamelod ni hatari msako wao si wakitoto na hawana cha ugenini wala nyumbani.

Narudia tena Asec wagumu kwako, ila kwangu nikikutana nae ujue naenda nusu.
[emoji23][emoji23][emoji23] sio rahisi km wee unavyodhani hapa.
Mpira hauko hivyo na una matokeo ya kikatili sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sio rahisi km wee unavyodhani hapa.
Mpira hauko hivyo na una matokeo ya kikatili sana.
Najua ila based on Current Performance ya timu yangu na Asec ,nusu na ingia bila tatizo lolote.
 
Back
Top Bottom