Hata iliyokua ndani ya mfumo tulikutana nayo, ilitutoa ktk robo final kwa mikwaju ya penalt, huku wakiwa hawaamini. Utasema nn hapaaa?Wydad ni timu ambayo ipo katika transition sasa hv kama unavyoizungumzia barcelona.
Wydad ishabadili makocha WATATU ndani ya msimu mmoja.
Hiyo wydad hata Jwaneng kaifunga.
Umekutana na wydad ambayo iko nje ya mfumo.
Tizama current performance ya hizo timu halafu ndio urudi tuongee.Wydad? Asec? Jwaneng hawa ni vibondee? Hivi ni majini uchwara ya Avic town yanawaharibu akili hivyo? Mshageuzwa viti tayariiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba kacheza na Jwaneng Galaxy hawajawahi kufuzu robo fainali kwa miaka mitano mfululizo, miaka mitano mfululizo aidha hawafiki kwenye makundi ama wanashika mkia kwenye makundi.
Yanga kakutana na Belouzdad ambae kafuzu robo fainali mara tatu mfululizo na mwaka huu ilibidi iwe mara ya nne lakini Yanga wamewakatisha safari yao
Simba kajipigia vibonde wenzake, Yanga kapita tanuri la moto
Ndio maana NIKAKAZIA CURRENT PERFORMANCE.Hata iliyokua ndani ya mfumo tulikutana nayo, ilitutoa ktk robo final kwa mikwaju ya penalt, huku wakiwa hawaamini. Utasema nn hapaaa?
Unaona sasa!?.Ukiwa rekodi za kuokoteza jaribu kuficha ujinga 1995 na 1998 mm ni mtú mzima niko chuoni sihitaji kusimuliwa na mtu kwà kuwa nilkuwa najitambua huu upuuzi mwambie Ally Kamwe atafute press conference ili aropoke
Hadi mkazimia kumfunga.2A
Belouzdad nusu kawahi kuingia na ana experience CAF kuliko wewe kolozidad.
Huko CAFCC hakuna jipyaa bhana.Mwaka jana ASEC MIMOSA alitoka nusu fainali KOMBE LA SHIRIKISHO.
Kufika nusu fainali CAF confederation uko vizuri pia sio kitoto.
Unajua kamfunga nani mpaka kufika nusu?
Bas wasingefika makundi km ndo hivyo. Acha uongo wako hapa.Tizama current performance ya hizo timu halafu ndio urudi tuongee.
Sio kawaida mkuu kwa belouzdad ambayo imesifiwa miaka nenda rudi ni miongoni mwa timu zenye muendelezo wa ubora.Hadi mkazimia kumfunga.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu miee.Bas wasingefika makundi km ndo hivyo. Acha uongo wako hapa.
Bas sisi simba tuko ktk performance bora na nzuri, kubali hili kwani.Ndio maana NIKAKAZIA CURRENT PERFORMANCE.
Na ndio maana mlishindwa kuitoa ikawatoa bimaana ilikua katika ubora wake dhidi ya ubora wenu.
Ndio maana hata jamaa yako huko juu alivyoleta ushahidi wa simba kuiongoza al ahly nilikiri msimu ule Simba ilikua bora kimfumo.
Simba nakubali mpo katika ubora ndio maana mkawashinda hao mliowashinda.Bas sisi simba tuko ktk performance bora na nzuri, kubali hili kwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa walipofika makundi wakakutana na walio bora ambao ni simba na Asec, vipi hapa hukubaliii pia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbavu zangu miee.
Wamefika makundi wamekutana na nani??
Nenda katizame wamekutana na mpinzani gani.
Au nikusaidie udhaifu wa wapinzani walokutana nao??
Mpinzani nguli km yupiii?Simba nakubali mpo katika ubora ndio maana mkawashinda hao mliowashinda.
Ila huu ubora muuboreshe maana umepungua,ije ile simba inamfunga Kaizer chiefs bao 3 pale Mkapa.
Maana kama mkiendelea hivi mkikutana na Mpinzani nguli itawaletea shida.
Zimieni tu. Kwenu ni mambo ya kustaajabu.Sio kawaida mkuu kwa belouzdad ambayo imesifiwa miaka nenda rudi ni miongoni mwa timu zenye muendelezo wa ubora.
Lazima uzimie mie mwenyewe nilishiba bila kula.
Goli 4 kwa timu kama CRB hapana ni maajabu.
Ni mimi sijui nasimama wapi ama huelewi nini nachojaribu kueleza??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa walipofika makundi wakakutana na walio bora ambao ni simba na Asec, vipi hapa hukubaliii pia?
Tatizo lako hujui unasimamia wapi, ukiambiwa simba ni bora unakataaa unaleta hoja za wapinzani, ukiambiwa kuhusu hao wapinzani, unabaki kuhaha.
Wee kubali tyuuh Simba ni boraaaa.
-Tuanzie na Yanga mwenyewe.Mpinzani nguli km yupiii?
CAFCC kumbukeni mliingia mkaishia robo fainali Orlando pirates waliwatoa.Huko CAFCC hakuna jipyaa bhana.