Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Wydad ni timu ambayo ipo katika transition sasa hv kama unavyoizungumzia barcelona.
Wydad ishabadili makocha WATATU ndani ya msimu mmoja.
Hiyo wydad hata Jwaneng kaifunga.
Umekutana na wydad ambayo iko nje ya mfumo.
Hata iliyokua ndani ya mfumo tulikutana nayo, ilitutoa ktk robo final kwa mikwaju ya penalt, huku wakiwa hawaamini. Utasema nn hapaaa?
 
Wydad? Asec? Jwaneng hawa ni vibondee? Hivi ni majini uchwara ya Avic town yanawaharibu akili hivyo? Mshageuzwa viti tayariiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tizama current performance ya hizo timu halafu ndio urudi tuongee.
 
Simba kacheza na Jwaneng Galaxy hawajawahi kufuzu robo fainali kwa miaka mitano mfululizo, miaka mitano mfululizo aidha hawafiki kwenye makundi ama wanashika mkia kwenye makundi.

Yanga kakutana na Belouzdad ambae kafuzu robo fainali mara tatu mfululizo na mwaka huu ilibidi iwe mara ya nne lakini Yanga wamewakatisha safari yao

Simba kajipigia vibonde wenzake, Yanga kapita tanuri la moto

Ni lini yanga aliingia hatua hii ya robo? Unakumbuka mwaka gani?
 
Hata iliyokua ndani ya mfumo tulikutana nayo, ilitutoa ktk robo final kwa mikwaju ya penalt, huku wakiwa hawaamini. Utasema nn hapaaa?
Ndio maana NIKAKAZIA CURRENT PERFORMANCE.
Na ndio maana mlishindwa kuitoa ikawatoa bimaana ilikua katika ubora wake dhidi ya ubora wenu.
Ndio maana hata jamaa yako huko juu alivyoleta ushahidi wa simba kuiongoza al ahly nilikiri msimu ule Simba ilikua bora kimfumo.
 
"...mashabiki wa Yanga hawana elimu na hupiga kelele kama Nyani... "
- Luc Eymael
 
Ukiwa rekodi za kuokoteza jaribu kuficha ujinga 1995 na 1998 mm ni mtú mzima niko chuoni sihitaji kusimuliwa na mtu kwà kuwa nilkuwa najitambua huu upuuzi mwambie Ally Kamwe atafute press conference ili aropoke
Unaona sasa!?.
We una uhakika gani kama mimi ni mtoto??
Pangua hizo hoja na uelezee madhaifu yake.
 
Kwanza nyinyi SIMBA mwisho wenu ndo apo KOMBEROBO bora sisi YANGA uwezekano wa kuvuka robo upo.
 
Mwaka jana ASEC MIMOSA alitoka nusu fainali KOMBE LA SHIRIKISHO.
Kufika nusu fainali CAF confederation uko vizuri pia sio kitoto.
Unajua kamfunga nani mpaka kufika nusu?
Huko CAFCC hakuna jipyaa bhana.
 
Hadi mkazimia kumfunga.
Sio kawaida mkuu kwa belouzdad ambayo imesifiwa miaka nenda rudi ni miongoni mwa timu zenye muendelezo wa ubora.
Lazima uzimie mie mwenyewe nilishiba bila kula.
Goli 4 kwa timu kama CRB hapana ni maajabu.
 
Bas wasingefika makundi km ndo hivyo. Acha uongo wako hapa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu miee.
Wamefika makundi wamekutana na nani??
Nenda katizame wamekutana na mpinzani gani.
Au nikusaidie udhaifu wa wapinzani walokutana nao??
 
Ndio maana NIKAKAZIA CURRENT PERFORMANCE.
Na ndio maana mlishindwa kuitoa ikawatoa bimaana ilikua katika ubora wake dhidi ya ubora wenu.
Ndio maana hata jamaa yako huko juu alivyoleta ushahidi wa simba kuiongoza al ahly nilikiri msimu ule Simba ilikua bora kimfumo.
Bas sisi simba tuko ktk performance bora na nzuri, kubali hili kwani.
 
Bas sisi simba tuko ktk performance bora na nzuri, kubali hili kwani.
Simba nakubali mpo katika ubora ndio maana mkawashinda hao mliowashinda.
Ila huu ubora muuboreshe maana umepungua,ije ile simba inamfunga Kaizer chiefs bao 3 pale Mkapa.
Maana kama mkiendelea hivi mkikutana na Mpinzani nguli itawaletea shida.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbavu zangu miee.
Wamefika makundi wamekutana na nani??
Nenda katizame wamekutana na mpinzani gani.
Au nikusaidie udhaifu wa wapinzani walokutana nao??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa walipofika makundi wakakutana na walio bora ambao ni simba na Asec, vipi hapa hukubaliii pia?

Tatizo lako hujui unasimamia wapi, ukiambiwa simba ni bora unakataaa unaleta hoja za wapinzani, ukiambiwa kuhusu hao wapinzani, unabaki kuhaha.

Wee kubali tyuuh Simba ni boraaaa.
 
Simba nakubali mpo katika ubora ndio maana mkawashinda hao mliowashinda.
Ila huu ubora muuboreshe maana umepungua,ije ile simba inamfunga Kaizer chiefs bao 3 pale Mkapa.
Maana kama mkiendelea hivi mkikutana na Mpinzani nguli itawaletea shida.
Mpinzani nguli km yupiii?
 
Sio kawaida mkuu kwa belouzdad ambayo imesifiwa miaka nenda rudi ni miongoni mwa timu zenye muendelezo wa ubora.
Lazima uzimie mie mwenyewe nilishiba bila kula.
Goli 4 kwa timu kama CRB hapana ni maajabu.
Zimieni tu. Kwenu ni mambo ya kustaajabu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa walipofika makundi wakakutana na walio bora ambao ni simba na Asec, vipi hapa hukubaliii pia?

Tatizo lako hujui unasimamia wapi, ukiambiwa simba ni bora unakataaa unaleta hoja za wapinzani, ukiambiwa kuhusu hao wapinzani, unabaki kuhaha.

Wee kubali tyuuh Simba ni boraaaa.
Ni mimi sijui nasimama wapi ama huelewi nini nachojaribu kueleza??
Smarter and smartest hivyo vitu vinafanana??
Unakua wa kwanza je wakwanza dhidi ya nani??
Kiufupi nilichokua najaribu kueleza ni kuwa Yanga msimu huu ina ubora kuizidi Simba,pia usifananishe ubora wa timu za kundi B na D.
Kwishanfahamu auntyy??
 
Back
Top Bottom