Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Simba ilimfunga mwarabu gani akiwa katika mfumo with full consistency goli nne kama CRB??
Malengo ya Simba ni kufika nusu. Mwaka jana ilishindikana ngoja tuone mwaka huu.
 
Ni mimi sijui nasimama wapi ama huelewi nini nachojaribu kueleza??
Smarter and smartest hivyo vitu vinafanana??
Unakua wa kwanza je wakwanza dhidi ya nani??
Kiufupi nilichokua najaribu kueleza ni kuwa Yanga msimu huu ina ubora kuizidi Simba,pia usifananishe ubora wa timu za kundi B na D.
Kwishanfahamu auntyy??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna hata unacho kizungumza, ko Belouzdad ni bora kuliko wydad? Hivi uko sawaa wee?
 
CAFCC kumbukeni mliingia mkaishia robo fainali Orlando pirates waliwatoa.
Ila Yanga alitinga mpaka fainali Benchika akampora kombe.
Na hao Yanga walikutana na team zipii hadi kufika final?
Na mie niseme mlikutana na team dhaifu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maana wakati sisi tunatolewa na Orlando wee ulitolewa mapema kabisaa, yaan asubuh tyuuh ukatupwa nje.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna hata unacho kizungumza, ko Belouzdad ni bora kuliko wydad? Hivi uko sawaa wee?
Dooh!
Yani nilichoeleza hadi sasa hujakielewa??
Kwa performance ya sasa we unaonaje??
Msimu As roma anaitoa Barcelona robo fainali UEFA 2017 kama sijakosea kwa performance ya msimu ule nani anahesabika kuwa katika ubora kwa msimu ule???
Tofautisha ubora wa mara zote na ubora wa msimu na msimu.
Hata CAF na UEFA hutoa ranks za ubora wa muda wote na ubora wa msimu kwa msimu.
Hivi unalijua hili?
 
Na hao Yanga walikutana na team zipii hadi kufika final?
Na mie niseme mlikutana na team dhaifu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maana wakati sisi tunatolewa na Orlando wee ulitolewa mapema kabisaa, yaan asubuh tyuuh ukatupwa nje.
Yani unaenda na unazunguka na kurudi pale pale.
Hiyo ndio maana halisi ya current performance.
Yanga sikuwa na performance hiyo kipindi wewe unafika robo unatolewa na Orlando pirates.
Ila msimu wa jana nilikua katika mfumo mzuri mpaka nafika fainali.
Nampiga TP mazembe nje ndani kuna mtu alitegemea ningemfunga mazembe??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeyote na aje, sisi tumeshavuka level za kuogopa opponents.
Sijasema muogope opponent ila over confidence equals to foolishness.
Boresheni ubora wenu .
 
Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi.

Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na kutoamini kuwa kweli wamefuzu robo fainali au ndoto za Mchana?

Huku wakiwakejeli Simba ambao wamewafikisha mahali walipo hivi sasa.mechi za makundi zimeisha na Timu zote hasimu kutingà robo fainali,huku Simba ikijikisanyia alama 9 na Yanga FC Alama 8

Hata hivyo Simba imekuwa na uwiano wa magoli 7 Kuliko Timu yeyote zilizoshiriki kwenye CAFCL hatua ya Màkundi.Onyo Yanga punguzeni mdomo haya mashindano Simba ni kama kushiriki MAPINDUZI CUP.
Kole a.k.a robo fainali fc,punguzeni kelele,mwananchi ana vuka robo na nusu fainali, ila robo fainali fc kama kawa kama dawa.Mnafunga virago kurudi ligi ya mchangani🤓
 
Dooh!
Yani nilichoeleza hadi sasa hujakielewa??
Kwa performance ya sasa we unaonaje??
Msimu As roma anaitoa Barcelona robo fainali UEFA 2017 kama sijakosea kwa performance ya msimu ule nani anahesabika kuwa katika ubora kwa msimu ule???
Tofautisha ubora wa mara zote na ubora wa msimu na msimu.
Hata CAF na UEFA hutoa ranks za ubora wa muda wote na ubora wa msimu kwa msimu.
Hivi unalijua hili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazunguka sana, simba ni bora, ukileta hoja ya kundi alilopo, na mie ntakuja kwenye kundi ulilopo na kufanya comparison baina ya hao opponents.

Na bado opponents wangu watakua juu zaidi ya wako. Afu kila mtu ashinde match zake, unaumia simba kutinga robo? Mbona hii sio habari na hata CAF wanajua.
 
Yani unaenda na unazunguka na kurudi pale pale.
Hiyo ndio maana halisi ya current performance.
Yanga sikuwa na performance hiyo kipindi wewe unafika robo unatolewa na Orlando pirates.
Ila msimu wa jana nilikua katika mfumo mzuri mpaka nafika fainali.
Nampiga TP mazembe nje ndani kuna mtu alitegemea ningemfunga mazembe??
Sasa mazembe ya mwaka jana mbona bovu tyuuh. Km ambavyo wee unasema wydad ya sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazunguka sana, simba ni bora, ukileta hoja ya kundi alilopo, na mie ntakuja kwenye kundi ulilopo na kufanya comparison baina ya hao opponents.

Na bado opponents wangu watakua juu zaidi ya wako. Afu kila mtu ashinde match zake, unaumia simba kutinga robo? Mbona hii sio habari na hata CAF wanajua.
Sizunguki ila wewe HUELEWI.
Kwa ubora wa msimu kwa msimu kundi D lina timu bora.
Labda ulishasahau Yanga kabla haijafungwa kwa ubora wa msimu ilikua ya kwanza kama sio ya pili kwa current performance toka mwaka uingie.
Hiki kitu huwezi elewa maana wewe SHABIKI WA SIMBA SIO WA MPIRA
 
Sasa mazembe ya mwaka jana mbona bovu tyuuh. Km ambavyo wee unasema wydad ya sasa.
Nadhani hapo sasa utaelewa nini nalenga.
Hiyo ndio maana halisi ya current performance.
Msimu ule Mazembe haikuwa katika ubora wake kama msimu huu Wydad ilivyokua nje ya ubora wake.

Case closed
 
Ubora tunao na ndo maana tuko robo final, wasiokuwa bora hawako huku.
You are smart but you must be smarter.
Shangazi wa kingoni uwe na asubuhi njema.
Maana huwezi mshinda mwanamke kwa maneno.
 
Sizunguki ila wewe HUELEWI.
Kwa ubora wa msimu kwa msimu kundi D lina timu bora.
Labda ulishasahau Yanga kabla haijafungwa kwa ubora wa msimu ilikua ya kwanza kama sio ya pili kwa current performance toka mwaka uingie.
Hiki kitu huwezi elewa maana wewe SHABIKI WA SIMBA SIO WA MPIRA
Ubora wa msimu kwa msimu kundi D lina team bora zipi? km Al ahly, belouzdad kushiriki mara kwa mara, hata asec na wydad hapo ni kwao.

Huna Pa kuchomokeaaa? Najua sanaa kinachokutatiza kukubalii.
Ila ndo hvyo ushakubalishwa.
 
You are smart but you must be smarter.
Shangazi wa kingoni uwe na asubuhi njema.
Maana huwezi mshinda mwanamke kwa maneno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii tupuuu.
 
Fainali ni Simba na Yanga, kwani tumeanza kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani, ikiwa mwarabu kala nne na Galaxy kala sita kwa Mkapa ni fundisho kwa timu zitakazo kuja kucheza nyumbani, zijipange vizuri. Wacha timu zetu ugenini zifatufe sare ila kwa mkapa mvua za magoli ziwashukie wapinzani.
 
Back
Top Bottom