Simba SC Yamfuta kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems

Hao viongozi na Manara wote mpaka sasa wameshindwa kutoa sababu ya msingi ya kumfukuza kocha. Wamebaki kujikanyaga kanyaga tu. Mbaya zaidi hata hiyo bodi ya Simba haina siri ina uswahili mwingi kwani taarifa za kufukuzwa kocha zilivuja kwenye vyombo vya habari mwezi mzima kabla hawajatekeleza azma yao. Shida kubwa ya mpira wa bongo umewavamiwa na watu wasiojua mpira kwa undani.
Mimi nilikuwa na sababu za Uchebe kufukuzwa hata kabla bodi haijawaza hivyo, soma posts zangu humu.
 
Mtawatetea sana viongozi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli. Yaani waliacha majembe Okwi, Niyonzima na Kotei kwa mbwembwe wakaleta hao wabrazili ambao hawafiki hata nusu ya uwezo wa wachezaji uliowaacha halafu zigo mnamwangushia Uchebe. Acheni hizo bana mpira unachezwa hadharani uwanja wa taifa na hata Azam TV wanaonyesha live kila week end tunaona. Hivi shughuli ya Okwi utalinganisha na huyo Da Silva wenu. Sasa hivi Boko kawa majeruhi kamuacha Kagere kama yatima hana msaidizi anagombaniwa na mabeki wote wa ligi kuu halafu Uchebe afanye nini aingie yeye kumsaidia Kagere afunge? Kuweni waungwana kubalini Simba ilichemsha kwenye usajili halafu rekebisheni kwenye dirisha dogo maisha yaendelee sio kutafuta mtu wa kumuangushia gunia la misumari. Kwa mtu yeyote anayejua mpira anajua kuwa Uchebe ni mmojawapo wa makocha bora kabisa waliowahi kufundisha soka bongo pamoja na propaganda zinazotumika kwa nguvu kwenye vyombo vya habari kumchafua.
 
wataongea yoote lakini sababu kubwa ya kutolewa ni Simba kutolewa klabu bingwa Afrika,
 
Na kocha amesema yeye hajafanya usajili.. Badala ya hoja manara anakuja na maneno tupu.
 
Yupo dogo Miraji anatupia balaa, cha ajabu Uchebe alikuwa anamfanya sub wakati ana stiker mmoja tu.

Tuna amina Ajib, top class assist, Uchebe anamtupa ubaoni, tuna dogo Mlipili alikuwa anaozea bench, tuna Kakolanya, alikuwa anakalia benchi tu kwa Uchebe.

Amekalia kuua vipaji vya wachezaji mpaka anaboa, hongera viongozi wa Simba kwa kumtoa.
 
timu imejaa wachezeshaji simba hatukuwahi kuwa na tatizo la viungo wachezeshaji tulikuwa na tatizo la beki mbili pale Kapombe anapoumia lakini usajili wa mbadala wa Kapombe umefanywa dakika za lala salama na bado inaonekana hawezi kuziba pengo lake, shabalala alitakiwa atafutiwe mtu wa kumpa changamoto na pia tulihitaji beki wa kati hasa baada ya Nyoni kupata majeraha na wawa kuwa mzito pale mbele tulihitaji kuongeza mshambuliaji mmoja na kubakiza washambuliaji wote wakiwemo kina Okwi lakini wanafanya usajili wa ovyo halafu wanamtwisha mzigo refa
Shabalala si kapewa gadiel amchalenji beki wa kati mbadala wa wawa tunaye mlipili na Kennedy juma but kocha alikuwa hawaamini wrote hawa,washambuliaji tuna kagere na miraji ambaye kwangu Mimi anaifanya Nazi ya okwi vizuri tu shida mojawapo uchebe alikuwa hamuamini
 
Mtawatetea sana viongozi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli. Yaani waliacha majembe Okwi, Niyonzima na Kotei kwa mbwembwe wakaleta hao wabrazili ambao hawafiki hata nusu ya uwezo wa wachezaji uliowaacha halafu zigo mnamwangushia Uchebe. Acheni hizo bana mpira unachezwa hadharani uwanja wa taifa na hata Azam TV wanaonyesha live kila week end tunaona. Hivi shughuli ya Okwi utalinganisha na huyo Da Silva wenu. Sasa hivi Boko kawa majeruhi kamuacha Kagere kama yatima hana msaidizi anagombaniwa na mabeki wote wa ligi kuu halafu Uchebe afanye nini aingie yeye kumsaidia Kagere afunge? Kuweni waungwana kubalini Simba ilichemsha kwenye usajili halafu rekebisheni kwenye dirisha dogo maisha yaendelee sio kutafuta mtu wa kumuangushia gunia la misumari. Kwa mtu yeyote anayejua mpira anajua kuwa Uchebe ni mmojawapo wa makocha bora kabisa waliowahi kufundisha soka bongo pamoja na propaganda zinazotumika kwa nguvu kwenye vyombo vya habari kumchafua.
Na zile 5 tulizokuwa tunapigwa unazizungumziaje? Mechi ya js saoura away anamuacha mlipili benchi anampanga beki mbovu bukaba anatuchomesha kizembe tu?
 
Nawapa heko uongozi wa Simba kwa kumtoa huyu mcheza mieleka, alikuwa ananiudhi upangaji wake wa timu na sub zake za kubahatisha
 
Shabalala si kapewa gadiel amchalenji beki wa kati mbadala wa wawa tunaye mlipili na Kennedy juma but kocha alikuwa hawaamini wrote hawa,washambuliaji tuna kagere na miraji ambaye kwangu Mimi anaifanya Nazi ya okwi vizuri tu shida mojawapo uchebe alikuwa hamuamini
mpaka sasa hatujaapata mbadala wa Okwi, Okwi ni aina ya wachezaji wanaoamua matokeo pale mbinu za kocha na timu zinapofeli Miraji anajitahidi ila aache kuongea sana kwenye vyombo vya habari vitampoteza sasa hivi inabidi afanye bidii bado ana safari ndefu
 
Okwi mwishoni alikuwa anagombana tu uwanjani, alishindwa kabisa kucheza mpira. Ilibidi awe anaanzia bench au anafanyiwa sub, get your memories right buddy
 
Na kocha amesema yeye hajafanya usajili.. Badala ya hoja manara anakuja na maneno tupu.
Hajasajili ndio nini, ulaya makocha wanatimuliwa wanakuja wengine na wanawatumia wachezaji waliosajiliwa na wenzao. Frank Lampard amekuja Chelsea na wachezaji wake? Mbona anafanya vizuri tu. Toeni visingizio hapa.

Hao akina Matola watakuja na wachezaji wao? Si watawatumia hawa hawa waliopo. Zahera alishika nafasi ya pili ligi iliyopita alikuja na wachezaji wake?

Hivi Aussems angepewa kile kikosi cha Yanga cha mwaka jana si angeishusha daraja timu. Mbona mnakuwa wagumu kuelewa.

Kocha anawatumia center backs wawili Wawa na Nyoni kila mechi, hivi hajui kuwa anatakiwa kuanza kuwapa nafasi vijana kama akina Mlipili ili waanze kuzoea.

Nini kinamfanya anawakalisha benchi wachezaji wenye viwango kama Kakolanya, Ajib, n.k. Kwanini asiwe hata na timu mbili ili kila mchezaji angalau acheze, maana Simba hakuna mchezaji mbovu, ni kukosa mechi tu.
 
20191207_062618.jpg

🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️​
 
Okwi mwishoni alikuwa anagombana tu uwanjani, alishindwa kabisa kucheza mpira. Ilibidi awe anaanzia bench au anafanyiwa sub, get your memories right buddy
Huyo unayesema alikuwa anagombana alifanya Nini kwenye michuano ya afcon yule ni mchezaji wa mechi kubwa na ndogo ni mshambuliaji ambaye Kila msimu anafunga goli si chini ya kumi bado hujaweka assist mnawashabikia kina ajibu ambào mechi kubwa wanapotea
 
Hakuna akichokifanya bingwa alikuwa Algeria, what are talking about.
 
Back
Top Bottom