Simba SC yampa mapumziko Bernard Morrison hadi mwisho wa msimu huu 2021/ 2022

Simba SC yampa mapumziko Bernard Morrison hadi mwisho wa msimu huu 2021/ 2022

Simba hacheni USWAHILI.
Kama kafukuzwa semeni kafukuzwa.
HAKUNA haja ya kung'ata maneno.
Mlivyoandika ni Kama kwa heri ya KUONANA.
 
Timu za Tanzania bana ni za hovyo sana hata kutoa tu taarifa sahihi!!!

Hivi unawezaje kumpa mapumziko mtu afu wakati huo unamtakia maisha?. Je Morrison amekataa kuongeza mkataba? Au anawadai pesa amegoma kucheza?.

Vilabu vyetu vijifunze kuwa wazi kwa umma na sio upuuzi mwing.
 
Ukishasikia makubaliano kwa pande zote mbili..! Hapo jua ngoma imefikia mwisho.

Tena ametakiwa kila la kheri baada ya mapumziko huko aendako.
Uto sijui watayalamba matapishi yao?
 
Timu za Tanzania bana ni za hovyo sana hata kutoa tu taarifa sahihi!!!

Hivi unawezaje kumpa mapumziko mtu afu wakati huo unamtakia maisha?. Je Morrison amekataa kuongeza mkataba? Au anawadai pesa amegoma kucheza?.

Vilabu vyetu vijifunze kuwa wazi kwa umma na sio upuuzi mwing.
Unataka waseme kuwa anaidai Simba mmpate kukejeli..?!

Kiufupi SIMBA SC imeachana na Morrison
 
Unataka waseme kuwa anaidai Simba mmpate kukejeli..?!

Kiufupi SIMBA SC imeachana na Morrison
Ugumu wakutoa taarifa kamili uko wapi? Kwamba wanamuogopa Morrison kumtangaza wmeachana nae?.
 
Haya uto wajibebee mchezaji wao kipenzi waliokuwa wanamlilia
Sio huyo tu,kuna mmoja japo tushaacha utaratibu wa kupokea wachezaji airport lakini huyo tutaenda kumpokea anatokea afrika kaskazini huko,kijana kutokea nchi jirani ya upande wa kusini,nyie endeleeni na ushubwanda wenu pira propaganda sie tunajipanga kwa msimu ujao na msimu ubingwa tunachukua,au sio Shadeeya
 
Back
Top Bottom