vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Mkuu mbona kila kitu kipo wazi kwenye baruaHiyo statement bado kwangu iko paradox sana, hilo pumziko alilopewa lina maanisha kukatishwa mkataba au ni vacation tu ambayo ikiisha atarejea tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona kila kitu kipo wazi kwenye baruaHiyo statement bado kwangu iko paradox sana, hilo pumziko alilopewa lina maanisha kukatishwa mkataba au ni vacation tu ambayo ikiisha atarejea tena?
Za ndaaani kabisa Anarudi ChikwendeHapo tyr nafasi ya kusajili mchezaji wa kimataifa imeshapatikana
Ukishasikia makubaliano kwa pande zote mbili..! Hapo jua ngoma imefikia mwisho.Hiyo statement bado kwangu iko paradox sana, hilo pumziko alilopewa lina maanisha kukatishwa mkataba au ni vacation tu ambayo ikiisha atarejea tena?
Milioni 17 kwa mwezi na bado anawaletea kiburi. ama kweli Tanzania ni shamba LA bibi.
Uto sijui watayalamba matapishi yao?Ukishasikia makubaliano kwa pande zote mbili..! Hapo jua ngoma imefikia mwisho.
Tena ametakiwa kila la kheri baada ya mapumziko huko aendako.
Hakuna mchezaji Simba aliyefanya vizuri msimu huu kama huyo unayemuita mzigo!!Aondoke tu ni mzigo kwa simba.
😀😀 Kaa kwakutuliaUto sijui watayalamba matapishi yao?
Tulipiwaambia mnanunua matatizo mkamuita Wakili Msomi, au amenyang'anywa Digrii?Haya uto wajibebee mchezaji wao kipenzi waliokuwa wanamlilia
Unataka waseme kuwa anaidai Simba mmpate kukejeli..?!Timu za Tanzania bana ni za hovyo sana hata kutoa tu taarifa sahihi!!!
Hivi unawezaje kumpa mapumziko mtu afu wakati huo unamtakia maisha?. Je Morrison amekataa kuongeza mkataba? Au anawadai pesa amegoma kucheza?.
Vilabu vyetu vijifunze kuwa wazi kwa umma na sio upuuzi mwing.
Maana yake hawategemei kumtumia tena"Na safari yake ya soka hapo baadae" sijaelewa hapa..
Ndivyo Watanzania walivyoAondoke tu ni mzigo kwa simba.
Ugumu wakutoa taarifa kamili uko wapi? Kwamba wanamuogopa Morrison kumtangaza wmeachana nae?.Unataka waseme kuwa anaidai Simba mmpate kukejeli..?!
Kiufupi SIMBA SC imeachana na Morrison
Million 17 😊 kama ni kweli basi mwekezaji apewe sifa zoteMilioni 17 kwa mwezi na bado anawaletea kiburi. ama kweli Tanzania ni shamba LA bibi.
Sio huyo tu,kuna mmoja japo tushaacha utaratibu wa kupokea wachezaji airport lakini huyo tutaenda kumpokea anatokea afrika kaskazini huko,kijana kutokea nchi jirani ya upande wa kusini,nyie endeleeni na ushubwanda wenu pira propaganda sie tunajipanga kwa msimu ujao na msimu ubingwa tunachukua,au sio ShadeeyaHaya uto wajibebee mchezaji wao kipenzi waliokuwa wanamlilia