Simba SC yamtambulisha rasmi Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya, Senzo Mazingiza kutoka Afrika Kusini

Simba SC yamtambulisha rasmi Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya, Senzo Mazingiza kutoka Afrika Kusini

Japo naamini kuna wenye vigezo stahiki na hawajaomba nafasi hiyo kwa sababu zap zozote, bado naamini Simba ina inahitaji mtu anayeijua kwa undani ili kushika nafasi hii muhimu kwa maendeleo ya timu kama Taasisi. Mwenyezi Mungu akuangazie Senzo. Alipoishi Bwana Magori uanzie na kufika zaidi ya mategemeo.

#SimbaNguvuMoja
 
Toka ameondoka mafanikio gani wameyapata.

Actually Saad took them from the scratch to the top.

I respect his ability as a CEO
Huko Azam mwenyewe alitolewa sasa hivi yupo Mganda... Watanzania ni walewale wazee wa 10%
 
Sina hakika kama naliunga mkono hili la kumleta CEO wa kigeni kwenye Chama langu Lunyasi. Yaani niko kwenye suspense sijui kama tumepatia au tunakosea kwa hilo

Pengine kabda ya yote nigewaomba viongozi wetu watuwekee hadharani Job Description ya Mtendaji Mkuu wa club yetu ndio pengine tutakua katika nafasi ya kusema position hiyo inafaa kwa foreigner au kwa mzawa/local
 
Hivi sisi tuna nini lakini tena mkuu mtu mzito Kama wewe hapa jukwaani na shabiki mkubwa wa msimbazi Leo Unauliza job descriptions ya CEO wa Simba
Tangazo limekaa mwezi Mzima linaelezea hayo ina maana hukuliona/hukutaka kusoma au ndio Ulikua na matarajio na mtu wako
Kama inahitaji hiyo job descriptions ya CEO wa Simba nenda moja kwa moja kwenye page yao na sio kuleta Ulalamishi
 
Kila Mwaafrika sasa hivi anatakiwa awagomee Afrika Kusini mpaka wajirekebishe. Hii siyo mara ya kwanza wao kuuwaa na kupora wageni.

Simba wangeonesha mshikamano na Waafrika wengine kipindi hiki.

Si kila jambo lazima litolewe tamko au zuio.

Kuna Watanzania wameuliwa kule.
Mnaangalia hayo tu vipi wanaouawa nchini kwenu hamuoni! Mbona hamkemei? Kweli nyani haoni kundule
 
Ina maana hakuna Mtanzania mwenye sifa za kuwa CEO wa klabu kama Simba? Au ni ugonjwa mpya wa kuamini wageni zaidi. Tumeanza wachezaji, makocha, leo ma CEO, kesho?
Ikiwa ni kweli hakuna, nina watakia SSC kila la kheri.
Tokea hizi Club zimeanzishwa (Simba na Yanga) zimeongozwa na Wenyeji kwa Miaka kadhaa! Je tuna lipi kubwa la kujivunia ukiondoa yale ambayo Karume ameyafanya kwenye kwa kuwapa msingi wa majengo yao... Kama tunataka kuona matokeo tofauti, ni vyema pia kutumia njia tofauti... Usitegemee matokeo tofsuti iwapo kila siku uko busy na njia moja tu
 
Wrong timing.

Kwao wanauwa Waafrika nyie mnawaajiri.

Simba mngesubiri yanayojiri sasa yapoe. Hapo mnatutukana wote.
Wazo zuri Faiza, ila ingekua na nguvu sana iwapo tungejua Mtazamo wa nchi, Baba wa nchi na Mwenyekiti wa SADC pia ni upi.. Otherwise, msimamo wa mtu mmoja, au Club, hizo ni entity ndogo sana kwa issue kubwa kama ya South... Nafikiria tu kwa sauti, ila mitazamo tofauti ni Ruhsa
 
Mtazamo wa Rais husukumwa na waliomuajiri. Kama kusudio lako la u "baba" ndilo hilo.
 
Mtazamo wa Rais husukumwa na waliomuajiri. Kama kusudio lako la u "baba" ndilo hilo.
Nimekuelewa vyema. Sasa hao walimuajiri huyo msouth si ndio sehemu ndogo ya waliomuajiri Rais! Au nachanganya madesa!?
 
kuna kitu MO anakificha ndio maana ameajiri mgeni kuficha madudu yake
 
Kongole Mkuu...!
Tokea hizi Club zimeanzishwa (Simba na Yanga) zimeongozwa na Wenyeji kwa Miaka kadhaa! Je tuna lipi kubwa la kujivunia ukiondoa yale ambayo Karume ameyafanya kwenye kwa kuwapa msingi wa majengo yao... Kama tunataka kuona matokeo tofauti, ni vyema pia kutumia njia tofauti... Usitegemee matokeo tofsuti iwapo kila siku uko busy na njia moja tu
 
kuna kitu MO anakificha ndio maana ameajiri mgeni kuficha madudu yake
Na nyie mnaoajiri wakongo mnataka kufanya nini?

Kuanzia Kocha, Nahodha, Mshambuliaji..Weka wazi mkuu
 
Kitu ambacho naamini ni kwamba huyo senzo hana uwezo wowote mkubwa wa kuipeleka simba mbele kwa sababu hajawahi kufanya kazi yoyote ya kutukuka.Hana uwezo mkubwa.Timu zote alizopita hazina mafanikio makubwa.
 
Kamati ya roho mbaya..! Asanteni kwa kushiriki
Kitu ambacho naamini ni kwamba huyo senzo hana uwezo wowote mkubwa wa kuipeleka simba mbele kwa sababu hajawahi kufanya kazi yoyote ya kutukuka.Hana uwezo mkubwa.Timu zote alizopita hazina mafanikio makubwa.
 
huyu C EO Msauzi sioni kitu chochote atakachoisaidia simba zaidi ya kubuni mbinu za kuitapeli simba kwa kushirikiana na tapeli mwenzake MO
 
Toka ameondoka mafanikio gani wameyapata.

Actually Saad took them from the scratch to the top.

I respect his ability as a CEO
Saad Kawemba ni mavi tu yule muha jeuri madharau. Naongea kama insider nayejua uendeshwaji na kufanya naye kazi akiwa kama technical director TFF na CEO wa Azam. Ni mbabaishaji kama wababaishaji wengine.
 
Back
Top Bottom