GentlemanFulani
New Member
- Aug 27, 2019
- 2
- 3
Naomba link ya interview ya manâra na yule mzungu...Patrick Ausems anatumia lugha gani..? mbona anafundisha akina Zimbwe na Mkude
Huko Azam mwenyewe alitolewa sasa hivi yupo Mganda... Watanzania ni walewale wazee wa 10%
Nenda youtube katafute.Naomba link ya interview ya manâra na yule mzungu...
Hivi sisi tuna nini lakini tena mkuu mtu mzito Kama wewe hapa jukwaani na shabiki mkubwa wa msimbazi Leo Unauliza job descriptions ya CEO wa SimbaSina hakika kama naliunga mkono hili la kumleta CEO wa kigeni kwenye Chama langu Lunyasi. Yaani niko kwenye suspense sijui kama tumepatia au tunakosea kwa hilo
Pengine kabda ya yote nigewaomba viongozi wetu watuwekee hadharani Job Description ya Mtendaji Mkuu wa club yetu ndio pengine tutakua katika nafasi ya kusema position hiyo inafaa kwa foreigner au kwa mzawa/local
Mnaangalia hayo tu vipi wanaouawa nchini kwenu hamuoni! Mbona hamkemei? Kweli nyani haoni kunduleKila Mwaafrika sasa hivi anatakiwa awagomee Afrika Kusini mpaka wajirekebishe. Hii siyo mara ya kwanza wao kuuwaa na kupora wageni.
Simba wangeonesha mshikamano na Waafrika wengine kipindi hiki.
Si kila jambo lazima litolewe tamko au zuio.
Kuna Watanzania wameuliwa kule.
Tokea hizi Club zimeanzishwa (Simba na Yanga) zimeongozwa na Wenyeji kwa Miaka kadhaa! Je tuna lipi kubwa la kujivunia ukiondoa yale ambayo Karume ameyafanya kwenye kwa kuwapa msingi wa majengo yao... Kama tunataka kuona matokeo tofauti, ni vyema pia kutumia njia tofauti... Usitegemee matokeo tofsuti iwapo kila siku uko busy na njia moja tuIna maana hakuna Mtanzania mwenye sifa za kuwa CEO wa klabu kama Simba? Au ni ugonjwa mpya wa kuamini wageni zaidi. Tumeanza wachezaji, makocha, leo ma CEO, kesho?
Ikiwa ni kweli hakuna, nina watakia SSC kila la kheri.
Wazo zuri Faiza, ila ingekua na nguvu sana iwapo tungejua Mtazamo wa nchi, Baba wa nchi na Mwenyekiti wa SADC pia ni upi.. Otherwise, msimamo wa mtu mmoja, au Club, hizo ni entity ndogo sana kwa issue kubwa kama ya South... Nafikiria tu kwa sauti, ila mitazamo tofauti ni RuhsaWrong timing.
Kwao wanauwa Waafrika nyie mnawaajiri.
Simba mngesubiri yanayojiri sasa yapoe. Hapo mnatutukana wote.
Mtazamo wa Rais husukumwa na waliomuajiri. Kama kusudio lako la u "baba" ndilo hilo.Wazo zuri Faiza, ila ingekua na nguvu sana iwapo tungejua Mtazamo wa nchi, Baba wa nchi na Mwenyekiti wa SADC pia ni upi.. Otherwise, msimamo wa mtu mmoja, au Club, hizo ni entity ndogo sana kwa issue kubwa kama ya South... Nafikiria tu kwa sauti, ila mitazamo tofauti ni Ruhsa
Nimekuelewa vyema. Sasa hao walimuajiri huyo msouth si ndio sehemu ndogo ya waliomuajiri Rais! Au nachanganya madesa!?Mtazamo wa Rais husukumwa na waliomuajiri. Kama kusudio lako la u "baba" ndilo hilo.
Tokea hizi Club zimeanzishwa (Simba na Yanga) zimeongozwa na Wenyeji kwa Miaka kadhaa! Je tuna lipi kubwa la kujivunia ukiondoa yale ambayo Karume ameyafanya kwenye kwa kuwapa msingi wa majengo yao... Kama tunataka kuona matokeo tofauti, ni vyema pia kutumia njia tofauti... Usitegemee matokeo tofsuti iwapo kila siku uko busy na njia moja tu
Kitu ambacho naamini ni kwamba huyo senzo hana uwezo wowote mkubwa wa kuipeleka simba mbele kwa sababu hajawahi kufanya kazi yoyote ya kutukuka.Hana uwezo mkubwa.Timu zote alizopita hazina mafanikio makubwa.
Saad Kawemba ni mavi tu yule muha jeuri madharau. Naongea kama insider nayejua uendeshwaji na kufanya naye kazi akiwa kama technical director TFF na CEO wa Azam. Ni mbabaishaji kama wababaishaji wengine.Toka ameondoka mafanikio gani wameyapata.
Actually Saad took them from the scratch to the top.
I respect his ability as a CEO