Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shabiki wa mpira anayeipenda timu ka haifanyi vizuri.Hivi hivi viongozi wa club nao wanatoka nje.
Watawapoteza washabiki bure na haji manara aanze kulia mbona uwanja haujai.
Mkuu mbona wapo wengi tuu kama akina mzee AKILIMALI, BI HINDU NA MZEE KILOMONI.Nani hapa nchini? mwenye cv ya kuendesha klabu kuitoa hapa kuipeleka juu zaidi katika mfumo wa kisasa
Hujui kuwa hiyo ni new discipline kwetu?Ina maana hakuna Mtanzania mwenye sifa za kuwa CEO wa klabu kama Simba? Au ni ugonjwa mpya wa kuamini wageni zaidi. Tumeanza wachezaji, makocha, leo ma CEO, kesho?
Ikiwa ni kweli hakuna, nina watakia SSC kila la kheri.
Anzisha yako yenye akiliHii club imekuwa ya kijinga sana.....anyway mambo ya ujanja ujanja as usual
Tatizo lililopo SA haliwezi kuzuia mambo mengine kuendelea.Wrong timing.
Kwao wanauwa Waafrika nyie mnawaajiri.
Simba mngesubiri yanayojiri sasa yapoe. Hapo mnatutukana wote.
Labda awe mwana Yanga. Mikia hamna kitu.Ina maana hakuna Mtanzania mwenye sifa za kuwa CEO wa klabu kama Simba? Au ni ugonjwa mpya wa kuamini wageni zaidi. Tumeanza wachezaji, makocha, leo ma CEO, kesho?
Ikiwa ni kweli hakuna, nina watakia SSC kila la kheri.
Kila Mwaafrika sasa hivi anatakiwa awagomee Afrika Kusini mpaka wajirekebishe. Hii siyo mara ya kwanza wao kuuwaa na kupora wageni.Tatizo lililopo SA haliwezi kuzuia mambo mengine kuendelea.
Kama hakuna zuio lolote wao kuja huku tatizo liko wapi?
Hahahaa...... Nyani haoni kundule!Hawa sindio wanalalamika kule kwao kwamba wageni wanachukua nafasi zao mpk wanafanya vurugu?
Amen!Kila Mwaafrika sasa hivi anatakiwa awagomee Afrika Kusini mpaka wajirekebishe. Hii siyo mara ya kwanza wao kuuwaa na kupora wageni.
Simba wangeonesha mshikamano na Waafrika wengine kipindi hiki.
Si kila jambo lazima litolewe tamko au zuio.
Kuna Watanzania wameuliwa kule.
Mchakato wa CEO ulianza kitambo na makubaliano yalifikiwa kwa huyu Msouth kabla ya hizi vurugu za hivi karibuni..!Wrong timing.
Kwao wanauwa Waafrika nyie mnawaajiri.
Simba mngesubiri yanayojiri sasa yapoe. Hapo mnatutukana wote.
Klabu ya Simba leo Septemba 7, 2019, imemtambulisha rasmi Senzo Mazingiza kutoka Afrika Kusini kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa klabu hiyo, akichukua nafasi ya Crescentius Magori ambaye amemaliza muda wake.
Akizungumza wakati wa utambulisho huo uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam, Senzo ambaye amewahi kufanya kazi katika Klabu ya Orlando Pirates, Platinum Stars FC pamoja na Chama cha Soka cha Afrika Kusini, ameahidi kuifanya klabu ya Simba kuwa klabu kubwa zaidi barani Afrika.
"Simba ni timu kubwa sana, nimekuwa nikiifuatilia kwa muda sasa. Nimejifunza kuwa ni timu kubwa, na tunaweza kuifanya kubwa zaidi, sio tu ukanda wa Afrika Mashariki bali kuwa klabu kubwa zaidi Afrika" amesema Senzo
Kwa upande wake CEO ambaye amemaliza muda wake Crescentius Magori, amewashukuru Wanasimba kwa ushirikiano waliompa muda wote kwa kipindi chake hadi kumalizika.
"Kuanzia wiki ijayo nitakuwa CEO mstaafu, nawashukuru sana kwa ushirikiano mlionipa. Nawashukuru sana Wanasimba. Kwa wale ambao tumekwazana niombe radhi ilikuwa sababu ya kazi yangu" alisema Magori.
SimbaSCNguvuMoja
View attachment 1200719View attachment 1200720
Nani hapa nchini? mwenye cv ya kuendesha klabu kuitoa hapa kuipeleka juu zaidi katika mfumo wa kisasa