Cha msingi ni kwamba ana CV kubwa kuliko ya zahera
Izo 5 kavu nami naziona kabisa iyo January cc ShadeeyaKulitaka Mwana Kulipewa Mwana..Tunarudi zama zile za kumgonga Kwasu 5-0..SimbaNguvuMoja
Ni kama Zahera alivyosema Yanga wengi ni wajinga..Mutu anapenda Yanga kuliko muke yake..![emoji23]Uchebe alisema kuna viongozi wa Simba ni wa hovyo, huyu naye anapaswa kujua hilo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zambia hawakuweza kuingia kwenye Afcon iliyofanyika Misri lakini timu yao bado ilikuwa na uwezo mkubwa pamoja na kutofanikiwa kuingia AfconOkay asante sana vp hiyo zambia iliishia kwenye steji ipi naomba kwa anaejua anijuze
Sent using Jamii Forums mobile app
kama nyinyi mlivyomwokota Mkwasa ambaye Taifa stars ilivunja naye mkataba baada ya kuwa na maatokeo yasiyoridhisha ikiwemo kufungwa goli 7 na Algeriahaka kakocha kachalii kalitimuliwa Zambia kwa aibu, simba kweli mbumbumbu, hakuna kocha hapa, mmeenda kuokota kocha wa bei rahisi na kumfukuza Ausem kwa ajili ya wshahara mkubwa. huyu chalii haifikishi simba kokote, ndio maana kapewa mkataba wa mwaka mmoja maana HAAMINIKI ?