Kusema kweli hapa tumecheza kamali ukilinganisha na profile ya Aussems
Lakini kwa kuwa mpira ni mchezo wa wazi tusubiri tuone ambacho viongozi wameona.View attachment 1289287View attachment 1289289
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Zambia ilishindwa kufuzu kwenda Misri ilihali Taifa stars ya Amunike ilifuzu. Huyu kocha ni Bomu kabisaOkay asante sana vp hiyo zambia iliishia kwenye steji ipi naomba kwa anaejua anijuze
Sent using Jamii Forums mobile app
Mo yupo kibiashara zaidi kaleta ka albino kengine. Nadhani lengo ni kuja kukafanya kawe kasemaji ka timu baada ya Manara kumaliza muda wake mana mikia wanapenda tusemaji twa dizaini hii.haka kakocha kachalii kalitimuliwa Zambia kwa aibu, simba kweli mbumbumbu, hakuna kocha hapa, mmeenda kuokota kocha wa bei rahisi na kumfukuza Ausem kwa ajili ya wshahara mkubwa. huyu chalii haifikishi simba kokote, ndio maana kapewa mkataba wa mwaka mmoja maana HAAMINIKI ?
Unamaanisha nini unaposema lakini timu yao bado ilikuwa na uwezo Mkubwa pamoja na kutofanikiwa kuingia afcon?Zambia hawakuweza kuingia kwenye Afcon iliyofanyika Misri lakini timu yao bado ilikuwa na uwezo mkubwa pamoja na kutofanikiwa kuingia Afcon
Ni kimeo, kanaringia ualbino wake tu
Ha ha ha mingapi? Halafu ile timu ilivunjaga mkataba kama siye tulivyovunja na wachezaji wabovu kama sadney na Balinya waloshindwa kuleta kilichotarajiwa
We bado unaona viongozi wako wana maono? Hao ndo walimwacha Kotei wakaleta wabrazil, wakamwachia Okwi waleta Mzee Deo Kanda bongomanKusema kweli hapa tumecheza kamali ukilinganisha na profile ya Aussems
Lakini kwa kuwa mpira ni mchezo wa wazi tusubiri tuone ambacho viongozi wameona.View attachment 1289287View attachment 1289289
Sent using Jamii Forums mobile app
MO alikuwa anatoa $30,000 kwa marefa..hata ile mechi ya pili na Yanga mabeki watatu walitoka usiku kambini kwa msaada wa Canavaro kwenda kuchukua muamala mpaka Zahera akamkataa Meneja Canavaro...hao wachezaji wanaojiliza Mkwasa hawataki mbona PS ,Shikalo na Tshishimbi hawajavunja mkataba???hatupendi jokesTulipoishia hiyo michuano robo fainali Kwasu alikuwa kundi gani? Tunakufunga kukuziba mdomo lakini malengo ya Simba kila mdau wa soka anaelewa
Labda kwa ufinyu wa akili yako utakuwa huwelewi..[emoji23]